Isike Moses
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,789
- 4,245
You have spoken my mindCha ajabu ni nini sasa??
Kwani yeye ndio mwanamke wa kwanza duniani kupokea au kutoa talaka?
Ubarikiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You have spoken my mindCha ajabu ni nini sasa??
Kwani yeye ndio mwanamke wa kwanza duniani kupokea au kutoa talaka?
Alitangaza rasmi: Mtangoja sana mimi kuachwa! Nikiachwa niko billionare (kwa sauti ya Zari) hahaaaaaa!!! Wapi bilionare Mange. Hata chumba hajapewa.... Mwanaume anafight for custody ya watoto. Woman is unfit for kids all the time on instagram.You have spoken my mind
Ubarikiwe
You have spoken my mind
Ubarikiwe
We utakuwa umeona raha... haya mambo kwa zamuKazidi kujidhalilisha kuweka yale ma chats yake na Mumewe... oupsss aliekua mumewe ....
Molembe, bongo anaanzaje? Ana magomvi kila mahali na her best friends.Kwanza huyu mzungu alikuwa mvumilivu sana mimi siwezi kuoa mwanamke kama yule arudi Bongo tulisongeshe.
Fimbo yangu nshaandaaa... Ntamnyukajeee???arudi sasa bongo tumpe kipigo
Pussy Power? Insta pussy power? Mume kabeba best friend yake Mzimbabwe.pussy power VP tena?
Cha ajabu ni nini sasa??
Kwani yeye ndio mwanamke wa kwanza duniani kupokea au kutoa talaka?
Nashangaa kuona wanawake wanafurahiaCha ajabu ni pale ambapo alidhani yeye peke yake duniani ndio mwenye ndoa ya kitajiri na kutwa kudharau walioolewa na waafrika. alijipa 100% kua kuachika kwake mwiko maana wanawake wa kipare hawaachiki. Ukichanganya na jinsi alivyokua akiwachamba wenzie kwenye mitandao ndio cha ajabu alichokua nacho, vinginevyo kuachika ni kawaida. angalau aonje joto ya jiwe na yeye aingiie mitaani na watoto watatu aone utamu wake.
Nashangaa kuona wanawake wanafurahia
Mwanamke mwingine kuteseka. Kwanza Mlijuaje
Kama yeye kaachwa labda ndie alie acha.
Duhh watamkoma ngoja azikamateDivorce marekani dili lazima akamate 50% ya assets plus monthly child support plus alimony, she's set for life!
Kama ujazifanyia kazi hata ukipata 75% zitayayuka kama barafu..Divorce marekani dili lazima akamate 50% ya assets plus monthly child support plus alimony, she's set for life!
Mlisongeshe?Kwanza huyu mzungu alikuwa mvumilivu sana mimi siwezi kuoa mwanamke kama yule arudi Bongo tulisongeshe.
Kama ujazifanyia kazi hata ukipata 75% zitayayuka kama barafu..
Na kwa vile mwenye zake mchakalikaji atazichanga na hali kurudi kama mwanzo hiyo moja,,
Pili=ukiona kuna kajiharufu cha talaka unakwenda kuchukua mkopo farsta Mamaaake alafu inafanya kitu mbaya...
Kuna vifungu vya sheria No........ na No .....vinakutoa kwenye 50% na kumpatia asilimia 5 ikizidi 10 na mnasaidiana kulea watoto 50_50...
Je bado ujazodoka?