Tanzanian socialite, Mange Kimambi apewa talaka rasmi

Tanzanian socialite, Mange Kimambi apewa talaka rasmi

Anasubiriwa vibaya. DPP kacharuka vibaya. Akitua airport wala hatii mguu Serena. Mwisho wake utakuwaga pale Kisutu mahakamani. Ngoma ya bongo imemkalia vibaya. But let her come afungwe at least three years, aanze new life.
Dua la kuku hilo Loh hivi unaanzaje kupangilia mawazo ya kumtakia mabaya mtu asiye na hata robo ya kwapa lako
 
Arudi bongo sasa aje kututajia vizuri ile orodha ya wauza sembe.

Yule Bongo hata akokotwe kwa Cartepillar harudi.
Na siku akisema anarudi maadui zake wataenda Msubiri Kisarawe, kabla Ndege haijatua wanamchomoa huko huko juu kwa juu halafu watokomee na yeye.
Mange kumsubiri Airport pale Dar sidhani Kama itawezekana, maadui zake walivyo wengi patatokea tifu la kugawana vipande vya mwili wake.
Yule sasa hivi ni USA Mamy tu, bongo ndio ntolee hiyo.
 
Mzungu hana asset yoyote maana mange alishamkamua na starehe. Bad enough sasa hivi anaishi chini ya education loan na familia inasaidiwa na Babu na Bibi. Mzungu amebaki na sehemu zake za siri tu na vyeti vyake. Wanaume angalieni sana kwenye swala la kuoa. Mzungu amepukutishwa
😀😀😀😀😀
 
uongo,dola 200 per month mtu ana watoto wawili,acheni uongo,walau hata mngesema kwa wiki ama kwa siku tatu[/QUOTE
Contrary to what I am reading,the Mange I know is far too clever-hii downfall ambayo wengi wanaifurahia will never materialise-she will rise again and walk on air-hapo sasa sijui merchants of doom mtajificha wapi???
 
Inasikitisha sana kwa kweli, huyu dada hata kama alikuwa na madhaifu yake lakini bado haitoi sababu ya kufurahia matatizo yanapompata. Hii ni dunia utamcheka mwenzio leo, kesho yako huijui. Tujifunze kulipa ubaya kwa wema, hata kama Mange alikukwaza mbadilishe tabia kwa kumuonyesha upendo na huruma. Mungu amsaidie huyu dada, I really pity her.
Lol!!!!!kuna MTU Wa kumhurumia lakini si aina ya Mangee weweee Hakuna MTU alikuwa anamsapot Mange kuzidi marafiki zakeee kawavuaa nguoo .Mange Ana uwezo Wa kufufua Maiti Na kuzivika nguoo akaanza kuziongelesha kwa kuzisutaaaa Anaweza akamchafuaa mzazi wakoo kwa namna isiyotarajiwaaa..kwa nini watu huwa wanafungwa wakitenda kosa?ili wajifunze...same way kwa Huyu..tukisema tumhurumiee tumchekee atafanyaa MTU mwingine Si atahurumiwa???Acha Dunia infundishee!!Na ikibidi Isherehekee her Downfall!!
 
Kila mtu ana mapito anayo pitia ,hakuna aliyekamilika ,nimtakie maisha mema baada ya ndoa kufika mwisho
 
Mungu hubadili mipango yake kwani talaka ni mipango ya shetani.
 
Anasubiriwa vibaya. DPP kacharuka vibaya. Akitua airport wala hatii mguu Serena. Mwisho wake utakuwaga pale Kisutu mahakamani. Ngoma ya bongo imemkalia vibaya. But let her come afungwe at least three years, aanze new life.
Inshu sio kumuombea kufungwa Inshu awe na adabu..
 
Marekani? Kuchomoka kwenye hiyo 50% ni ngumu sana na hiyo child support na alimony ni monthly payment, child support mpaka mtoto afike 18 na alimony kama nusu ya muda wa ndoa so kama ndoa miaka 20 basi alimony unalipa miaka 10. Alimony inabidi imweke wife kwenye standard yake ya maisha ya ndoa so kama hana kazi umeunia hapo.
Kasome sheria tena....
Marekani unayosema ndio Marekani ninayoisema..
 
Kwanza huyu mzungu alikuwa mvumilivu sana mimi siwezi kuoa mwanamke kama yule arudi Bongo tulisongeshe.
mkuu umenena vyema wazungu wapo straight sana , wanafanya vitu vyao kwa uhakika ndoo maana nilijua tu huyu granny lazima apigwe chini.

I can't imagine how her Assenal look like!!! maana hawa wazungu wanapenda kote kote
 
Pole yyake mama Mashauzi ndoa mchezo????
Mkuu kuna interview ya Deo wa nirvana na Miriam Odema anasema alikutana na mumewe Afrika kusini ndo walikojuana sasa mumewe huyo hakujua kama huyo demu Odemba ni maarufu bongo sasa siku wamekuja Bongo ile wanatua airport watu wakaanza kumuangalia miriam Odemba mpaka mumewe akamuuliza mbona kila mtu anakutazama wanakujua , yeye akasema ndio wanamfahamu kwa sababu aliwahi kuwa miss hapa nchini .......

Basi Basha ake aliposikia vile alimpiga biti kujihusisha na masula ya social network na alisema angejua kama ni maarufu vile kabla asingemuoa.
 
kaolewa na mzungu yuko hivyo angeolewa na Hamisi fundi wa vitasa au Juma mzibua vyoo si ingekuwa balaa?? hawafugiki kwa kweli

malezi haya
Na hawezi olewa tena ndoo basi awe tu one night stand basi , maana hakuna namna ingine .

Nyinyi wadada wanaume hawapendi kero, muwe mnajifunza .
 
Afrodenzi: Read the divorce paper. The first name (Lance vs. Mange) ndie anayeacha-Lance. Sorry I am a lawyer so I thought you should know. This one kaachwa. Period!
Kwa hiyo . ?
 
Divorce mwanaume kakomoa. Karudio US eti kajiandikisha kusoma. So he is giving her studying allowances. Nyumba ni ya wakwe so no property at all. Lance is too smart for her. Ataambulia study allowance for the coming 4 years. Then he will start working watoto washakua na Mange atakuwa kaolewa na kuachika mara kumi hivi...

Sio simple kukwepa majukumu yako kama mnavyodhani, wanachukua forensic accountants wanaingia kila kola ya finances zako hakuna sehemu ya kuficha kitu chochote.
Kuna watu wanalipa hata 80-100% ya kipato chao na wakishindwa wanaozea jela. So hiyo idea kuwa amerudi kusoma haitamsaidia chochote.
 
Back
Top Bottom