ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,551
Ninafahamu dada mmoja wa kitanzania aliyetegemea ndoto kama hiyo lakini mambo yelipogeuka, alishindwa hadi akarudi Tanzania na mpaka leo sijui anaishije na watoto wake ingawa mme wake bado yupo hapa na baadaye alioa dada mmoja wa kiganda akiwa na watoto wawili naye. Jamaa yule alimwashia moto dada yetu kwa kuacha kazi kwa muda kidogo akiwa anaishi kwa wazazi wake kusudi asiwe na income ya kutoa child support na kulipia mortgage ya nyumba yao na magari hivyo dada huyo akakuta nyumba na magari yanachukuliwa na benki. Mwishowe ilifikia dada yule akaamua kukimbia kurudi bongo kwa hiari kwa vile maisha yaligeuka kuwa pilipili kwake.
ndege mjanja.....