Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Aisee!
Huyo dada Mange kweli anasumbua.
Anasumbua kuliko hata haja ya mabungo.
Yaani kamtu kamoja kanawasumbueni hivyo? I mean...really? Seriously y'all?
Hivi huwa inakatiza hata wiki kweli huyo mdada hajajadiliwa humu?