Tanzanian socialite, Mange Kimambi apewa talaka rasmi

Tanzanian socialite, Mange Kimambi apewa talaka rasmi

Mbaya zaidi x ndo anaeyemmaliza kwa kujiunga na wabaya kutupa madongo.mzungu anamwambia "find a job" what the f..k
hhhhaaahhaaa!!so sad!!Ila tulisemaga hapahapa!Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga!!
njia aliyokua anatumia kuumiza wenzie naye ameumizwa huko huko tena!!100 times harder
 
  • Thanks
Reactions: Mit
ivi ndo uyu juzi juzi kamponda Lemutuz via instagram kwenye msiba wa mama ake?
 
In Wendy's voice"stupid wo
hhhhaaahhaaa!!so sad!!Ila tulisemaga hapahapa!Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga!!
njia aliyokua anatumia kuumiza wenzie naye ameumizwa huko huko tena!!100 times harder
Karma karma....ile blog ndo chanzo cha haya yote.najua anatamani time irudi nyuma arekebishe alipokosea.ila huyu dada anapitia maisha magumu ambayo amejitakia.sijui mara ya mwisho ni lini amelala usingizi. 24/7 anaandika magazetu.watu wanapata phd wanamaliza ye bado tu anawadanganya stupid followers on socia media(in Wendy's voice)
 
huyu si alijitapaga eti wapare hawaachwi?...si huyu alidai kwamba lance hata akicheat atacheat na ngozi nyeupe sio black tena?....
ama kweli malipo ni hapa hapa duniani!!
 
huyu si alijitapaga eti wapare hawaachwi?...si huyu alidai kwamba lance hata akicheat atacheat na ngozi nyeupe sio black tena?....
ama kweli malipo ni hapa hapa duniani!!
Mzungu alivyomshenzi kaenda kuchukua rafiki tena mweusi hasaaa..lazima ikuchome kama pasiii.mzungu nae hata huruma
 
hhahhaaaaahhhaaa!!and ever since voda wamevunja mkataba!!kapotea ndo kahamia IG!
sometimes I feel sorry for her the way she is in pain coz am a woman too,I know maumivu ya kuachwa na mwenza kukurusha roho km hv!!unless uwe umeijiandaa na una maisha Ila Kule mange ni ugenini hana ndugu supporter wake ni followers
she needs comfort to b honest Ila sasa who is helping her?wote wanamcheka vbaya mnoo!!
 
Mimi hapa napita juu ,juu ya talaka. wachache wetu humu kama wawili watatu tuliyaandika ya kuachwa kwake mwisho wa 2014 na mwanzo wa 2015...kutokana na picha kumsoma...maneno yake aliyokuwa anajitahidi kujizuia bali ktkt ilionyesha analooooo

Ila Mange na ID zako zile ulijitahidi sana kujitetea humu, ukijua bomu litalipuka na lili lipuka.

Eeh umkome Zari, umkome nae kakupa za uso...mwenzio mgumu wewe huyawezi tafuta msaada haraka jinsi usivyo na simile utadumbukia chooni tu na wanao watachukuliwa. Lance juzi hapa ulijichoresha mwrnyewe kwa msg ulizitundika moja ex-mume mzungu akikuambia utafute kazi upate pesa za kuishi..pole...

Sasa hivi hata anuani yako inapatikana, unalo... Ila umecheka wengi, umejaribu kuvunja ndoa za watu wengi...yamekukuta sasa unajaribu kuvunja mapenzi ya wapendanao Zari na mumewe Diamond.

Uma wivu hadi kusaka mameneja eti wanauza ba**i, huku hao hao wanajitolea kusaidia wanamuziki waliodumbukia ktk majanga hayo kwa roho zao bila kyombwa...weee ulikomaje na kutoa post haraka...eehh tunasoma kwa kichwapanziiii

Mkome Zari, kumbuka alimkuta Diamond single na wewe ulichangia kushangilia wema kumuacha Diamond. Usitake kumachisha na wewe kuchukuliea ex-mume uliyekuwa bado unamlilia akurudie na hata ma akaunti feki instagram una komenti kwake.

Eeeh inauma eeeh tena rafiki yako, uliye kwenda nae eti Las Vegas kwa ajili ya bday yako, ukajifanya kuponda hata kwrnda lwrnye show ya Diamond... Kumbe hukujua nae ex mume atakufanyizia..kama ulivyokwenda kulala na mume wa mtu Atlanta, kijana wa kihaya na ikatoka e-mail ya kumsifia huku ulimwacha mumro then na watoto...
Pole umataka ndimu au ubuyu wa pilipili au mapera au picha za mzimbabwe aliyekuzidi akili tena shosti wako eeeh eti ulisema hupendi watanzania wewe na wazungu, wewe na akina nani tena wa nchi zingine...kiko wapi? Eeeh unaishi mji sijui mtaa mbantu peke yako...nini tena. Dawa moja nyoa mavuza yote yaote tena huku ukimuita jina....aaagh fix nimekutungia eti dawa uliyomwekea ya waganga iliisha pia?

*****

C&P hiyo hahahaaaaa
Kweli mkome Zari sio level yako...
tena amwache kabisaaa!! ye adeal na nyari au kichwapanzi kama atawaweza.... aliwanangaga sana single moms leo yamemkuta....
 
hhahhaaaaahhhaaa!!and ever since voda wamevunja mkataba!!kapotea ndo kahamia IG!
sometimes I feel sorry for her the way she is in pain coz am a woman too,I know maumivu ya kuachwa na mwenza kukurusha roho km hv!!unless uwe umeijiandaa na una maisha Ila Kule mange ni ugenini hana ndugu supporter wake I followers
she needs comfort to b honest Ila sasa who is helping her?wrote wanamcheka vbaya mnoo!!
Mdomo ulimponza yeye si alijifanya anajua kuongea na kulipua mabomu.hajui watu wengine huwa hawataniwi.wanajifanya wajinga huku wakuombea mabala.na ndo kinachotokea.ameumiza roho za watu wacha na yeye aonje kidogo labda atapata taste.
 
Mbona povu?
hahaaaaaa!!ukiskia paaaaaa!!!
tena amwache kabisaaa!! ye adeal na nyari au kichwapanzi kama atawaweza.... aliwanangaga sana single moms leo yamemkuta....
umeona eeehhh!!tena kwa maneno ya kashfa na karaha zote za maneno ya shombo!!
huyu si alijitapaga eti wapare hawaachwi?...si huyu alidai kwamba lance hata akicheat atacheat na ngozi nyeupe sio black tena?....
ama kweli malipo ni hapa hapa duniani!!
mpare mmakonde kaachwaa!!mwaka huu!dadadeki!chezea Mungu!!
Mungu fundiii jamaniii!!
 
Mdomo ulimponza yeye si alijifanya anajua kuongea na kulipua mabomu.hajui watu wengine huwa hawataniwi.wanajifanya wajinga huku wakuombea mabala.na ndo kinachotokea.ameumiza roho za watu wacha na yeye aonje kidogo labda atapata taste.
goes around,comes around!!!
time is a good teacher!!
 
  • Thanks
Reactions: Mit
Mzungu alivyomshenzi kaenda kuchukua rafiki tena mweusi hasaaa..lazima ikuchome kama pasiii.mzungu nae hata huruma
mashauzi yote kwishaaa.....ooh my mzungu this my mzungu that....mwanamke alikuwa anakufuru hatari, yaani alikuwa anaponda wanaume wa kiafrika utafikiri baba ake alikuwa mzungu
 
mashauzi yote kwishaaa.....ooh my mzungu this my mzungu that....mwanamke alikuwa anakufuru hatari, yaani alikuwa anaponda wanaume wa kiafrika utafikiri baba ake alikuwa mzungu
Hapo ndo nipoanza kumwangalia kwa jicho la tatu.abawahusudu hawa watu kushinda yeye mwenyewe.wakati anacheusi mangala pembeni yake.
 
Anajifanya hata sijali...nani asiyejali kulea watoto wasio na baba.huku unasubiri food stamps. Awadanganye followers wake.
 
Back
Top Bottom