Tanzanian socialite, Mange Kimambi apewa talaka rasmi

Tanzanian socialite, Mange Kimambi apewa talaka rasmi

Mtu anaumbua utafikiri yeye ndo muumbani.zero kabisa.mungu kashamuadhibu tayari imetosha
 
Voda wamesitisha udhamini wao kwa huyo mgonjwa wa akili?

Nilitupa chhoni line ya Voda na nilijiapiza kamwe siwezi kuwa mteja Voda tena over my dead body, haiwezekani pesa yangu haende kulipwa mpuuzi kama Mange badala ya kufadhili vitu vya maana.

Je hiyo blog yake bado inaendelea?
Jamani nilivyokua napigania vodacom wastop kumdhamin utafikiri waliskia kilio changu.sijui hata kwanini walichelewa kumpiga chini
 
Pole sana Mange, nilikua sikupendagi ila sikujua km siku moja ungeaadhirika hivi duh pole sana... Just pull yourself together for the sake of your kids...this too shall pass
 
In Wendy's voice"stupid wo

Karma karma....ile blog ndo chanzo cha haya yote.najua anatamani time irudi nyuma arekebishe alipokosea.ila huyu dada anapitia maisha magumu ambayo amejitakia.sijui mara ya mwisho ni lini amelala usingizi. 24/7 anaandika magazetu.watu wanapata phd wanamaliza ye bado tu anawadanganya stupid followers on socia media(in Wendy's voice)

Karma ndio nn?
 
since last yr wamevunja mkataba nae!
na hablog tena! mume kamkimbia,mdhamini kamtema hana vumba tena!
kabaki kutegemea wireless za bire za huko USA tu kujitutumua IG baaas!!
Swaiba Mungu anapotenda muujiza wake uwe unanitag, sikuwa na taarifa hizi maana mimi si mpenzi wa Insta wala blog zao hizo. Hizi ni habari njema sana kwangu na zinaisindikiza vizuri jumapili yangu.

Ila kwa hili nasema asante Mungu kweli wewe ni Ebeneza, huyu ameumiza sana watu hapa duniani na sasa imani yangu kwa Mungu itakuwa hai maradufu kwamba kweli Mungu yupo na anaona yote ila ana wakati wake wa kumchapa binadamu mkaidi.
Na wote tuseme Amen.
 
I can't believe that chick is this powerful!

I can't believe she is this influential!

But evidently, somehow someway, she is.
 
Anajifanya hata sijali...nani asiyejali kulea watoto wasio na baba.huku unasubiri food stamps. Awadanganye followers wake.
anauugulia maumivu tu...angekuwa hajali asingehangaika vile...zile chart za leo ndio zimedhihirisha kwamba yuko kwenye maumivu makali
 
Mtu anaumbua utafikiri yeye ndo muumbani.zero kabisa.mungu kashamuadhibu tayari imetosha
sana tu na Leo kajua uchungu wa kubully watu!
huko IG Leo Luna vita le mutuz anamchambua balaa nimecheka mnooo!!
shamim,kiki,mwamy etc I think wanagonga shampeni tu sasa hv!!
maana llooh!wamekoma nae hawa watu na nacky!!
Leo kichwa kanyanyua mashabiki 3-0!!
Jamani nilivyokua napigania vodacom wastop kumdhamin utafikiri waliskia kilio changu.sijui hata kwanini walichelewa kumpiga chini
hahaaa
 
Swaiba Mungu anapotenda muujiza wake uwe unanitag, sikuwa na taarifa hizi maana mimi si mpenzi wa Insta wala blog zao hizo. Hizi ni habari njema sana kwangu na zinaisindikiza vizuri jumapili yangu.

Ila kwa hili nasema asante Mungu kweli wewe ni Ebeneza, huyu malaya ameumiza sana watu hapa duniani na sasa imani yangu kwa Mungu itakuwa hai maradufu kwamba kweli Mungu yupo na anaona yote ila ana wakati wake wa kumchapa binadamu mkaidi.
Na wote tuseme Amen.
hahhahhaaa!!usikondreee!!yani Mungu analipa hapa hapa duniani tena kwa wakati mzuri km huu!!
Leo Mange halali mi nafkiri maana looh!!
 
  • Thanks
Reactions: Mit
sana tu na Leo kajua uchungu wa kubully watu!
huko IG Leo Luna vita le mutuz anamchambua balaa nimecheka mnooo!!
shamim,kiki,mwamy etc I think wanagonga shampeni tu sasa hv!!
maana llooh!wamekoma nae hawa watu na nacky!!
Leo kichwa kanyanyua mashabiki 3-0!!

hahaaa
Lazima kutakua na party somewhere. ..lol
 
Aisee!

Huyo dada Mange kweli anasumbua.

Anasumbua kuliko hata haja ya mabungo.

Yaani kamtu kamoja kanawasumbueni hivyo? I mean...really? Seriously y'all?

Hivi huwa inakatiza hata wiki kweli huyo mdada hajajadiliwa humu?
Ni anasumbua mno mkuu.nimeonyeshwa vitu anavyoandika duh
 
Unajifanya billionaire wakati hata kazi ya dollar 10 per hour huna.unakaa unasubiri mwenzio akuletee.matokeo yake hayo unaambiwa utafute kazi target. .
 
Back
Top Bottom