sweetapple
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 533
- 461
Mange Hata Mimi binafsi kipindi cha uchaguzi nilimlaaani laana zoote..tena sanaaaaaa....ila sijui imekuwaje now I pity her
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thuraya.kwani kuna mtu ana fake hisia??
ko unatumia line gani siku hizi
Labda we mwenye muda wa kufuatilia upuuzi wa watu ndio umpe ushauri .Mbona mnatia huruma sasa? Kama kweli mna busara kwa nini hamkumshauri mwenzenu wakati anaendeleza upuuzi wake?
Duuh na wewe nae umo kisaaana tu au vipi?Inasemekana ndoa ya Mange Kimambi imefika ukingoni. Ni habari ya kusikitisha sana kwa wapendwa wake ila kwa wengine ni furaha isiyo na kifani
![]()
Demba tafadhali nataka kila ukirudi julwaani uwe unani beep bhaaana,nakupenda saaaaana tena saaaana mrembo wewe.huyu si alijitapaga eti wapare hawaachwi?...si huyu alidai kwamba lance hata akicheat atacheat na ngozi nyeupe sio black tena?....
ama kweli malipo ni hapa hapa duniani!!
Afrodenzi tafadhali usijihusishe na laana za watu bhana,mbona wewe sio mkware?Labda we mwenye muda wa kufuatilia upuuzi wa watu ndio umpe ushauri .
Hatai kweikwei.Kilichobaki sasa ni aone na Le-mutuz sasa, hiyo ni nafasi yake ya mwisho.
I can't believe that chick is this powerful!
I can't believe she is this influential!
But evidently, somehow someway, she is.
Nimejihusisha kivipi?Afrodenzi tafadhali usijihusishe na laana za watu bhana,mbona wewe sio mkware?
Mange ni kiboko,anaifufua maiti alaafu anaisuta[emoji23][emoji23][emoji23] Mange mkumbuke muumba wako.
aiseeeh!!kumbeeee!!mpk msg za wamama hao alizirusha hewani!!??Mtu anae mtetea Mange huwa namuona hazimo kabisa au labda hajawahi kukugusa kinamna moja au nyingine, nitakupa mfano alivyomtukana Nacky ambae alikuwa rafiki yake akamtukana mama yake Anna Kilango na akamtukana mtoto wa Nacky akimuita eti ni Shetani anashangaa kwanini Nacky kampa jina la Malaika. Nacky alimtukana wapi????
Kamtukana Kiki na mama yake, kamtukana Nambua Mlaki na mama yake mpaka mama wa watu akamuandikia msg instagram aongee nae, tena alivyo mshenzi akaposti vile yule mama alivyomtafuta. Hawa watu walimtukana wapiii???
Nyie mnaomshangilia naomba siku awatie discipline kidogo awaguse mama zenu au baba walotangulia mbele za haki ndio mtakuja hapa kumuona HERO wenu.