Tanzanian socialite, Mange Kimambi apewa talaka rasmi

Tanzanian socialite, Mange Kimambi apewa talaka rasmi

hahhahhaaa!!usikondreee!!yani Mungu analipa hapa hapa duniani tena kwa wakati mzuri km huu!!
Leo Mange halali mi nafkiri maana looh!!
Hiyo Instagram ninayo app yake kwenye device yangu ukiingia huko huyo Le Mutuz unamsearch vipi? Nataka nikaburudike huko sipendi kuhadithisiwa show hii.
 
Yaani nimajanga,mange alivyokuwaga anawasifia wanaume wa kizungu,kusema ukweli huyu wake kamprouve wrong,yaani kitendo cha lance kufanya anachokifanya ,aisee mimi nasema wanaume ni tabia bila kujali rangi zao za ngozi
Mwanaume ni Mwanaume tu, despite of rangi yake na tabia haichagui rangi pia. Tuna vitu tunatofautiana au wametuzidi, but siamini kuwa wanaume wa kizungu ndo perfect partners, they are as flawed as our African men. Ukimpata mwema, shukuru tu Mungu.
 
Lazima kutakua na party somewhere. ..lol
washafanyaga party mbonaaa!!
Kichwapanzi needs a trophy. .huyu ndo jeshi la mtu mmoja.
Alikuja kwa pupa...akajua USA ni Kahe.
hahaaaaahhhaaa!!!USA alijua kwao ntwaala kwa mama ake asikokutajaga!!!
kaenda na shungi anarudi na kirembaa!!
hahaaaaaahhhaaaaa!!!
 
I can't believe that chick is this powerful!

I can't believe she is this influential!

But evidently, somehow someway, she is.
Sometimes u don't need to be powerful or influential for people to be all over your shit.. you just need to be famous, and well.. she is famous[emoji53]
 
Hiyo Instagram ninayo app yake kwenye device yangu ukiingia huko huyo Le Mutuz unamsearch vipi? Nataka nikaburudike huko sipendi kuhadithisiwa show hii.
ingia le mutuz nation
 
Sometimes u don't need to be powerful or influential for people to be all over your shit.. you just need to be famous, and well.. she is famous[emoji53]

Infamous is the word.

But whatever the case is, she is a highly emotive individual.
 
Inasikitisha sana kwa kweli, huyu dada hata kama alikuwa na madhaifu yake lakini bado haitoi sababu ya kufurahia matatizo yanapompata. Hii ni dunia utamcheka mwenzio leo, kesho yako huijui. Tujifunze kulipa ubaya kwa wema, hata kama Mange alikukwaza mbadilishe tabia kwa kumuonyesha upendo na huruma. Mungu amsaidie huyu dada, I really pity her.
Inasikitisha kweli lakin duuuh! Huyu dada alizidi hadi unashindwa kuelewa ni mwanamke mwenzetu kweli.
 
Maneno mabaya ambayo watu hurushiana wakiwa wamekasirishana mara nyingi huwa yameongezwa viungo vingi tu...binzari, paprika, chumvi, pilipili, vitunguu saumu, na vinginevyo.

Hivyo ni busara kuyaacha kama yalivyo tu maana huenda ni si ya kweli au hata kama ni ya kweli basi ni kwa asilimia chache sana.

Kama unamkubali mshauri aachane na mitandao aweze kutafakari mustakabal wa maisha yake. Nyie cheerleaders wake ndio mnamtia bichwa, basi na mpare mpenda sifa ndio anazidisha mabifu.
 
Kama unamkubali mshauri aachane na mitandao aweze kutafakari mustakabal wa maisha yake.

Sihitaji kumshauri chochote. Na huo ushauri wako unaweza kuwafaa hata hao anaotukanana nao na pengine hata wewe mwenyewe. Kila mtu anaweza kuachana na mitandao na kutafakari mustakabali wa maisha yake.

Nyie cheerleaders wake ndio mnamtia bichwa, badi na mpare mpenda sifa ndio anazidisha mabifu.

Hata nyie cheerleaders wa mahasimu wake ndo mnawatia mabichwa hao mahasimu wake na wao wanaona sifa na kendeleza hayo mabifu.

It goes both ways.
 
Sihitaji kumshauri chochote. Na huo ushauri wako unaweza kuwafaa hata hao anaotukanana nao na pengine hata wewe mwenyewe. Kila mtu anaweza kuachana na mitandao na kutafakari mustakabali wa maisha yake.



Hata nyie cheerleaders wa mahasimu wake ndo mnawatia mabichwa hao mahasimu wake na wao wanaona sifa na kendeleza hayo mabifu.

It goes both ways.

I mean kama unaanika maisha yako mtandaoni, halafu motive ikaenda upside down inside out, back off . Personally nimeshaandika humu that she needs a chill pill, vinginevyo ataishia kua depressed kwa kushindana na dunia, aishia kujiua bure.

Kuna masaibu mbalimbali duniani, lakini divorse inahitaji support na confort toka kwa ndugu jamaa na marafiki kudeal nayo. Sasa ukiongeza makando kando mengine ya malimwengu utawezaje? Hakuna mwenye moyo wa chuma so she needs to back off. She can never be one man army against dunia nzima.
 
Mangeee....yaani jamani ebu turudi nyuma kidogo...sijui nisome ana kipaji au Ni kitu gani..Mangeee anaumiza pandee zoteee Na cha ajabu ana uwezo wa kuturn back Na kuumiza upande wa kwanza alikuwa anausaport...Sasa hapo ndoo.anatuchanganyaa...kwa wakati huu watu wa UKAWA lazima wawe upande wake Watu Kijana lazima.wampondeee..Wa madawa lazima washangilieee Downfall yake.Japo mwenyewe anadai hajari but ukweli anaumia japoo Mimi.naweza msifiaa kidogoo kwamba ana weza Na kama ningekuwa Na Tuzo za Roho ngumu kama Jiwe la Mtoni anaweza..Imagine kwa MTU wa kawaida Upande zoteee za watu wakugeukee naa kushangiliaa Na Hata kama wapo wachache.hawana nguvu yoyote.Mimi nawaomba tumsamehe makosa take huenda This Time Akachange..pia tusisahau.pamoja Na mabaya yakee yoote mbona alikuwa anawapa makavu watu wanaouza Madawa? Jambo ambalo wengi wetu hatuliwezi Hata chembe..kwa nafasi yake Alithubutu. Na wewe Mange..Najuaa unapitia hapa naomba change kwa jili ya Future ya watoto. Everything in life has Limits..Please Born again now!...Lastly you are Hero. woman stands Alone...but just know that most of your fellow Tanzanians love you and care don't feel that bad..you will never work alone.
 
I mean kama unaanika maisha yako mtandaoni, halafu motive ikaenda upside down inside out, back off . Personally nimeshaandika humu that she needs a chill pill, vinginevyo ataishia kua depressed kwa kushindana na dunia, aishia kujiua bure.

That's her life and she is the master of her domain. If she has decided to live her life in public so be it. She's an exhibitionist. Let her knock herself out.

Hata akijiua...so what? Suicides happen everyday. She won't be the first nor last.

Kuba masaiby mbalimbali duniani, lakini divorse inahitaji support na confort toka kwa ndugu jamaa na marafiki kudeal nayo.

Unajua kuwa hana hiyo social support? Hata kama hana, una uhakika anaihitaji?

Sasa ukiongeza makando kando mengine ya malimwengu utawezaje?

We are not all wired the same. Just because you may not be able to handle it, doesn't mean she can't either.

Hakuna mwenye moyo wa chuma so she needs to back off.

But why is she the only one who needs to back off? Her haters don't? Come on now.

She can never be one man army against dunia nzima.

Well dooh! She is a woman after all, ain't she?
 
Mangeeeeee....Ametishaa Jf..Instaa..Facebook Ni Mangeee...kweli Mangeee pamoja Na yoote I salute you..Unatetemeshaaa!!ukiona watu wengi wanakuongeleaa sana ujue una kitu ndani yako.
 
Hakika, na mpaka leo sina line ya Voda, huyu mwanamke ni Lucifer Agent ameumiza sana watu kwa tabia zake za kishetani, nasema wazi bila kificho Asante Mungu, Mange hastahili hata chembe ya huruma na hata ningeambiwa angepikwa supu kama ningechelewa nyama yake basi hata mchuzi tu angalau niukute.
why too much hate Mpwa....
btw speaking of kuumizwa.. we alishawahi kukuumiza.

mie sio fan wake ila hata sifurahii yaliyomkuta kwakweli...
 
Simpendi Mange licha ya kwamba hatujuwani, tabia zake ni mbaya sana, tatizo mimi kufake hisia zangu huwa siwezi, kile nisemacho ndicho ninachomaanisha.
kwani kuna mtu ana fake hisia??
ko unatumia line gani siku hizi
 
Back
Top Bottom