Tanzanian socialite, Mange Kimambi apewa talaka rasmi

Inasemekana ndoa ya Mange Kimambi imefika ukingoni. Ni habari ya kusikitisha sana kwa wapendwa wake ila kwa wengine ni furaha isiyo na kifani
We umewahi hata kuolewa?utakuwa umepiga umbea Istagram umeona haitoshi umehamia na huku.
Wanawake wa mjini utawajua tu.
 
Nikijana wa kizalendo sana tumejua mengi kupitia yy pia hasa kipindi cha kampeni
 
Hivi mkeo angeshinda mitandaoni Kama Mange mngeelewana?
kama wewe?
frequency yake ikoje? wewe unakuwa online mara ngapi?
nani kafanya research kuwa Mangi ni worse scenario
standard ni masaa mangapi kwa siku?
na je accnt yake anatumia yeye tu au group la watu?
inawezekana anakaa muda mfupi sana na mida hiyo anaitumia effectively
ww mara kibao uko online ila hauchangii au?
 
Akirudi bongo tu,wananzengo watamdandia... Kamtukana sana Rajabu February na Dada yake,wauza poda kawasema sana,tena kwa kuwataja majina....
 
Wabongo tunapenda sana kufurahia matatizo ya wengine
Inasikitisha sana kwa kweli, huyu dada hata kama alikuwa na madhaifu yake lakini bado haitoi sababu ya kufurahia matatizo yanapompata. Hii ni dunia utamcheka mwenzio leo, kesho yako huijui. Tujifunze kulipa ubaya kwa wema, hata kama Mange alikukwaza mbadilishe tabia kwa kumuonyesha upendo na huruma. Mungu amsaidie huyu dada, I really pity her.
 
Inasemekana ndoa ya Mange Kimambi imefika ukingoni. Ni habari ya kusikitisha sana kwa wapendwa wake ila kwa wengine ni furaha isiyo na kifani
si alikuja kutukana hapa kuwa hajaachwa na wanawake wa upareni hawaachwi akamuita nifah bitch hahahaha haya atapata mzungu mwingine
 
Alikuwa nani hapa kabla ya kwenda Marekani?
 
juzi kati alitukana wana jf na kutuambia wanawake wa kipare hawaachwi . hiyo ndio ajabu




😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑
'MangeKimambi said: ↑
Chaaaaa! Ndo great thinkers hawa...

Hivi nikichika mnahisi ntabadilika nini? Mnadhani hii ni Tanzania. Gosh....
Kha Yani mlivyong'ang'ana nimeachika, Hivi Mnadhani Mimi Ndoa ndo Kila kitu Kwangu ?? Kha! Kwani nikiachika ntakuwa wa ngapi ? Anyways divorce za Marekani ziko public Embu nileteeni hiyo divorce yangu... Toka lini Mwanamke wa kipare akaachika nyie? Haachiki mtuuuuu.? Ulieleta topic unanichukia utadhani nilikuibia Bwana .... Bye
 
Hakuna uhakika kama ni kweli maana hiyo kitu nimeiona kule kwa yule kichwa nini sijui halafu yule kichwa panzi alifungua account ya Instagram maalum kwa ajili ya mange tu maana sijawahi kuona amepost kitu tofauti zaidi ya mange kila kukicha any way ni maisha yao lakini
 
Akija Bongo lazima wamweke ndani si alisema ana listi yawauza unga

Namwonea huruma labda abakie huko huko, Marekani baada ya divorce.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…