antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Hii nyeusi tii sijawahi kuona, ni mtama, auπ
Eeh viko vingiAsante, leo ndipo nimeiona kumbe kuna vyakula vingi mno hatuvifahamu.
Lenie njoo ukazieNdizi kaanga na nyama chomaView attachment 2635480View attachment 2635481
[emoji23] Nina picha nyingi na nazipost haraka hivyo siku-notisi hilo, mawazo yangu yalikuwa kwenye kuongelea ndizi..kumradhi member wa chakula chetu pendwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eti nyama choma, sema " kitimoto", mbona unaionea aibu mboga aisee
Hata mimi sifahamu, hope waje wenyeji wenye chakula chao watupe mrejesho.
Hahaha..Ngoma hiyo hapo kwenye kibakuli..kionjo pendwa cha mamura kule kanda maalumu [emoji23]View attachment 2635492
Asante sana kwa picha nzuri hizi. Ila hapo kwenye ugaliwenye rangi ya kijani iloyoiva Sana nimepita kapa.
My wetu huyo πNyieeee nyie ππ
Nakaziaaaa
Kitumbua ukigonga mixer na maharage, basi we siku nzima nikunywa maji tu kama nyoka..[emoji23]