Tanzanian traditional local foods

Tanzanian traditional local foods

Sangara (Nile perch)
IMG_20230515_015628.jpg
FB_IMG_16841047306633369.jpg
IMG_20230515_015800.jpg
 
Dunia ya leo watu wengi ufanya utalii wa ndani au wa nje ya nchi zao si kwa ajili ya vivutio vya asili vya mazingira na majengo tu bali kwa ajili ya kufurahia utalii wa vyakula vya asili na tamaduni za jamii mbalimbali.

Kama watanzania ni fursa kwetu pia kutangaza na kujivunia vyakula vyetu vya asili na vya kitamaduni, kwani Tanzania tumejaaliwa sana kuwa na vyakula vingi vya asili na vyenye ladha nzuri pengine kuliko nchi yeyote ile barani Afrika, ningeomba kupitia uzi huu yeyote yule mwenye picha nzuri ya chakula cha asili cha kitanzania na jina la chakula chenyewe iwe ni kiswahili au kikabila asisite kutupia hapa hili tusaidiane katika kuutangaza utamaduni wetu.
angalia avator yangu hiyo picha ni ugali wa asili tuupendao, tena unashibisha ukila asubuhi mpaka jioni. Ni ugali unaoshauriwa utumiwe na wenye kisukari pia. Ugali wa uwele shikamoo
 
Pamoja na ugali kupendwa sana kwa baadhi ya nchi za Africa, lakini siyo chakula cha kuliwa na binadamu.
Ieleweke kwamba Mahindi, mtama, uwele, etc ni kwa ajili ya kulisha ngombe, kuku na nguruwe.
Dah! Sasa kwa kuwa wazungu wanatumia mazao hayo katika kulishia mifugo yao kama sisi tusivyo thamini mende au konokono Je, hiyo inatosha kujustify kuwa siyo vyakula bora kwa mchina?
 
Viazi vitamu, magimbi, viazi vikuu, siyo junk food
Sasa nilitaja Mbute, Makopa, Matobolwa na Michembe.. ndipo ukasema wewe kwamba hizo zote zipo kwenye kundi la Juck food mkuu...😊
 
Kwa mlo huu, kumbe nihaki kabisa kuikata faru joni mani aloni...[emoji39]
[emoji23]Hii ngoma inaongoza kwa kuwa na wafuasi wengi kuliko inavyodhaniwa..ushauri kwa serikali waanzishe tozo kwa kitoweo pendwa[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom