Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,422
- 5,659
- Thread starter
- #141
Vitafunywa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chagga nation[emoji23]kiburu a.k.a kiumbo, mtori, loshoro, ngararimu, ndizi za kuchoma na mbegeLoshoro, Kitalolo, Makukura, gongo na buzaa kwa upande wa Wamasai sijaona picha.
Kiburu, kitawa na kimantine kwa Wachagga nazo sijaona.
Yote kwa yote vyakula vya asili ni vizuri na vina afya.
Hapa sasa uzi umekamilika..Chagga nation[emoji23]kiburu a.k.a kiumbo, mtori, loshoro, ngararimu, ndizi za kuchoma na mbegeView attachment 2637068View attachment 2637069View attachment 2637070View attachment 2637071View attachment 2637072View attachment 2637073View attachment 2637074View attachment 2637075View attachment 2637076View attachment 2637078View attachment 2637079View attachment 2637080View attachment 2637081View attachment 2637085View attachment 2637086
Hapa sasa uzi umekamilika..
Watendee jambo wale ndg zetu wa wanaokula vindege pale Singida, na wale wa Dodoma wataalamu wa Ndogowe na pombe ya choya..
Hakika hii nchi ina vyakula vingi vya asili, hivyo vindege ni biashara na watu wa Kondoa wanazipenda sana.. Ila ugali mweusi sijapata kula wala kushuhudia.
Vyakula vya asili ni vingi na vingine havijawahi kuappear kokote pale kwenye picha au maandishi hivyo ni rahisi kizazi kijacho kikakosha kujua au kupata kumbukumbu ya vyakula vyetu vya jadi, mfano ni chakula maarufu cha wakurya almaarufu KIMORO au kipande cha nyama ya mnyama pori kama nyumbu au swala kilichokaushwa juani hiki ukipikiwa na ugali pamoja na mlenda utamu wake pilau au nyama ya kuku unaiweka kando.Hakika hii nchi ina vyakula vingi vya asili, hivyo vindege ni biashara na watu wa Kondoa wanazipenda sana.. Ila ugali mweusi sijapata kula wala kushuhudia.
Asante mkuu, tunajaribu kutunza kumbukumbu za vyakula vyetu vya asili na kuvitangaza pia.Mkuuu umetisha sana big up
Mbuzi wa Wahehe (Iringa)Tumeona vindege, mishkaki ya panya ila sijaona wale ndg zetu Wahehe na ile nyama yao ya asili.