Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,422
- 5,659
- Thread starter
- #301
Mishikaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muhogo huo kijana.
Sogea Ziba hapo utaiona![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu..... huku Ibologelo, hii sambusa na mchuzi mix sijawahi kuiona walahi...[emoji2955]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo umetumia lugha za mikoa mitatu,Tabora,Shinyanga na Mwanza!.Sasa nilitaja Mbute, Makopa, Matobolwa na Michembe.. ndipo ukasema wewe kwamba hizo zote zipo kwenye kundi la Juck food mkuu...[emoji4]
Kwa wale wasiyofahamu,hivyo ni viazi vitamu vinavyo hifadhiwa kwa njia mbili.Picha ya kwanza ni viazi vibichi vilivyu katwa katika hali ya vipande bapa na kukaushwa kwa jua(MICHEMBE AU MAKEWE).Picha namba tatu, maandalizi yanafana kiatua naya picha namba 1,ila tofauti ni hapa viazi vinachemshwa kwanza kisha ndiyo vikatwa na kuanikwa(MATOWOLWA AU MATOVOLWA).Michembe
(Sukuma tribe- dried sweet potatoes traditional food)View attachment 2636824View attachment 2636827View attachment 2636828View attachment 2636829View attachment 2636831View attachment 2636832
Vyakula vya mijini zaidi na kiafya havipo vizuri kwa sababu ya mafuta mengi.MadikodikoView attachment 2636872View attachment 2636873View attachment 2636876View attachment 2636877View attachment 2636878View attachment 2636879View attachment 2636880View attachment 2636882View attachment 2636883View attachment 2636885View attachment 2636887View attachment 2636889View attachment 2636890View attachment 2636891View attachment 2636892View attachment 2636893View attachment 2636894View attachment 2636896View attachment 2636897