Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,422
- 5,659
- Thread starter
- #541
Vyakula vitamu zaidi duniani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe huwaga n panzi.Senene (Haya tribe traditional food)View attachment 2636567View attachment 2636574View attachment 2636575View attachment 2636576
Kumbe ujawahi kuwala? Lazima utapata mshituko huo wa kuwaona kama wale panzi wa kawaida uliowazoea but once ukipata ujasiri ukawaonja tu, kamwe utowaona tena kwenye mtizamo huo niwatamu hao asikwambie mtu[emoji39]Kumbe huwaga n panzi.
Dagaaa tuu ndio nakula kwa amani vingine vyote vya sampuli(udogo huo havipiti)
Ni kweli Tanzania ni nchi nzuri sana yenye utajiri wa kila namna, vyakula vyetu ikiwa ni moja ya utajiri wetu, tuna vyakula vingi na vinywani vyenye ladha nzuri, aroma, virutubisho, mwonekano, urahisi wa kupatikana kwake na mapishi ya kila namna, kikubwa ni kuendeleza utamaduni wetu na kuugeuza fursa.Kwa kweli Tanzania ina fursa kubwa kwenye mapishi. Ni mjumuisho wa mapishi na ladha mbali mbali
It is realy Culinary melting pot