Tanzanian traditional local foods

Tanzanian traditional local foods

Vyakula vitamu zaidi duniani
FB_IMG_16963719772206324.jpg
FB_IMG_16963720817319380.jpg
 
Kumbe huwaga n panzi.
Dagaaa tuu ndio nakula kwa amani vingine vyote vya sampuli(udogo huo havipiti)
Kumbe ujawahi kuwala? Lazima utapata mshituko huo wa kuwaona kama wale panzi wa kawaida uliowazoea but once ukipata ujasiri ukawaonja tu, kamwe utowaona tena kwenye mtizamo huo niwatamu hao asikwambie mtu[emoji39]
 
Kwa kweli Tanzania ina fursa kubwa kwenye mapishi. Ni mjumuisho wa mapishi na ladha mbali mbali
It is realy Culinary melting pot
Ni kweli Tanzania ni nchi nzuri sana yenye utajiri wa kila namna, vyakula vyetu ikiwa ni moja ya utajiri wetu, tuna vyakula vingi na vinywani vyenye ladha nzuri, aroma, virutubisho, mwonekano, urahisi wa kupatikana kwake na mapishi ya kila namna, kikubwa ni kuendeleza utamaduni wetu na kuugeuza fursa.
 
Back
Top Bottom