wewe kiazi kweli...Watanzania wana flight yao pale Adisababa...inawachukuwa wao na wengine toka mataifa mbalimbali na kuja nao Dar kila siku...pia Wanaijeria etcHapa Kuna hadi Togo, Somalia, Uganda, Nigeria, Rwanda.. Yani kwa majirani wetu wote Tanzania pekee ndio hawapo... Nimeelewa kwa nini ATCL hubeba abiria wawili kutoka dar hadi Kampala.. Na abiria Hawa hukua Wananchi wa UgandaView attachment 1042850View attachment 1042851View attachment 1042852
Sent using Jamii Forums mobile app
U r really stupid I didn't know u hav this shallow thinking! So u want a Tanzanian going to Addis to pass at Nairobi or a guy flying to any of the three destinations in Tanzania to go through Nairobi first! No wonder ET is transporting more Tanzanians plus tourists to Tanzania with this narrow mind that ommit a factor "convinient"!Tanzanians don't travel.
That's why you only conclude that a Tanzanian flying from Addis to Nairobi can only be making a connecting flight.
I'm pretty sure a good number of those on board had Nairobi as their final destination.
And they were not necessarily arriving from their home countries.
Katika viswahili vya wakenya vinavyoniachaga hoi hii "ukufe" inakamata top ten no matter in written or verbal.
U r really stupid I didn't know u hav this shallow thinking! So u want a Tanzanian going to Addis to pass at Nairobi or a guy flying to any of the three destinations in Tanzania to go through Nairobi first! No wonder ET is transporting more Tanzanians plus tourists to Tanzania with this narrow mind that ommit a factor "convinient"!
Ulikua unataka aende wapi? Mbona Nkurunzinza hasafiri lakini watu hamuongei why Magufuli every time?Hehe Buda Tanzanians hadi president hukaa Tz Sana Sana.. Si watu wa kutravel
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda stand ya ubungo uone mabusi yanayoenda Zambia, Zimbabwe, South Africa yanavyojazaDoes that mean Tanzanians only travel 'to Tanzania'. They don't travel to other countries?
Ni kama kuuliza, why should a Canadian travel to Canada from Addis via Nairobi?
Are you assuming the Canadian was travelling back home and not Nairobi?
Achana na hawa wapumbavu roho inawauma kwann Mtanzania hajafa! Hata kwenye maombolezi roho ya "kwann Mtanzania hayupo" inawasumbua!Nenda stand ya ubungo uone mabusi yanayoenda Zambia, Zimbabwe, South Africa yanavyojaza
Ina maana hawakua na Passport?
Hahaha! 😀 Kumbe Nkurunziza ndio saizi ya Jiwe? Sikujua!Ulikua unataka aende wapi? Mbona Nkurunzinza hasafiri lakini watu hamuongei why Magufuli every time?
Achana na hawa wapumbavu roho inawauma kwann Mtanzania hajafa! Hata kwenye maombolezi roho ya "kwann Mtanzania hayupo" inawasumbua!
Nenda stand ya ubungo uone mabusi yanayoenda Zambia, Zimbabwe, South Africa yanavyojaza
They have their own business! Mnigeria apite Kenya Bila sababu yoyote?Kuna mnigeria, mtogo, mjerumani etc so wamaanisha hakuna ndege ya Addis-Lagos??? Kuna hadi Mozambique Kuna mmoja na Kuna direct flights to maputo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa watu bana bila kuiongea Tanzania hawashibi chakula, sasa kuna ulazima gani wa kupita Nairobi wakati Ethiopian wana destinations 3 Tanzania daily na ukizingatia aina ya wasafiri kutoka Ethiopia wana pass by tu sio primary travellers from Ethiopia.Achana na hawa wapumbavu roho inawauma kwann Mtanzania hajafa! Hata kwenye maombolezi roho ya "kwann Mtanzania hayupo" inawasumbua!
Nae ni Mheshimiwa Rais, ujue hiloHahaha! 😀 Kumbe Nkurunziza ndio saizi ya Jiwe? Sikujua!
Ata hapa Nairobi mabasi yamejaa.
Lakini cha muhimu, JKIA imejaa pia.