Tanzanians don't travel, sijui ni kukosa pesa ama kuna la zaidi!

Tanzanians don't travel, sijui ni kukosa pesa ama kuna la zaidi!

Hapa Kuna hadi Togo, Somalia, Uganda, Nigeria, Rwanda.. Yani kwa majirani wetu wote Tanzania pekee ndio hawapo... Nimeelewa kwa nini ATCL hubeba abiria wawili kutoka dar hadi Kampala.. Na abiria Hawa hukua Wananchi wa UgandaView attachment 1042850View attachment 1042851View attachment 1042852

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe kiazi kweli...Watanzania wana flight yao pale Adisababa...inawachukuwa wao na wengine toka mataifa mbalimbali na kuja nao Dar kila siku...pia Wanaijeria etc
 
Tanzanians don't travel.
That's why you only conclude that a Tanzanian flying from Addis to Nairobi can only be making a connecting flight.
I'm pretty sure a good number of those on board had Nairobi as their final destination.
And they were not necessarily arriving from their home countries.
U r really stupid I didn't know u hav this shallow thinking! So u want a Tanzanian going to Addis to pass at Nairobi or a guy flying to any of the three destinations in Tanzania to go through Nairobi first! No wonder ET is transporting more Tanzanians plus tourists to Tanzania with this narrow mind that ommit a factor "convinient"!
 
'Pass by Nairobi'''.
As I said, a person who never travels thinks you can only be making a connecting flight through Nairobi.

Nairobi is a final stop for many people who travel.
A trip to Dubai. 4 days later a business meeting in Addis. Two days later, a conference in Nairobi. One week later, they return to their country.

There can be a million reasons someone can travel. But Tanzanians wouldn't know.
 
Does that mean Tanzanians only travel 'to Tanzania'. They don't travel to other countries?

Ni kama kuuliza, why should a Canadian travel to Canada from Addis via Nairobi?
Are you assuming the Canadian was travelling back home and not Nairobi?
Nenda stand ya ubungo uone mabusi yanayoenda Zambia, Zimbabwe, South Africa yanavyojaza
 
binafsi Mtanzania angekuwepo ningejiuliza sana...!
Achana na hawa wapumbavu roho inawauma kwann Mtanzania hajafa! Hata kwenye maombolezi roho ya "kwann Mtanzania hayupo" inawasumbua!
 
Achana na hawa wapumbavu roho inawauma kwann Mtanzania hajafa! Hata kwenye maombolezi roho ya "kwann Mtanzania hayupo" inawasumbua!
Hawa watu bana bila kuiongea Tanzania hawashibi chakula, sasa kuna ulazima gani wa kupita Nairobi wakati Ethiopian wana destinations 3 Tanzania daily na ukizingatia aina ya wasafiri kutoka Ethiopia wana pass by tu sio primary travellers from Ethiopia.

Hawa watu uelewa wao finyu kichizi shit
 
Back
Top Bottom