kilam
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 2,092
- 2,128
Bila kutaja kabila, chuki ni against one tribe in Kenya mostly.
Shida yenu kubwa zaidi ni kwamba hadi watoto wenu wamejaa ukabila. Kuna watoto wa rafiki yangu Mkikuyu wa Kiambu wanachukia Wajaluo vibaya mno. Hii sumu mnaoipandikiza kwa watoto wenu haitawaacha salama mkiendelea nayo.
Mkiwa nje ya nchi yenu bado mnajenga urafiki kutokana na makabila yenu.