njia ya muongo siku zote ni fupi.
mleta mada kakurupuka kuanzisha hii thread bila kufanya utafiti wa kutosha ili mwisho wa siku tukimpinga awe na ushahidi wa kutetea hoja yake.
ukweli ni kwamba wakenya wapo interested sana na affairs za Tz kuzidi nchi yoyote inayounda jumuiya ya EAC.
wanafatilia matukio yote yanayotokea nchini kwetu ikiwamo wanamuziki wa bongofleva na kazi zao,wanasiasa wa tz,uchumi wa Tz,fursa za ajira tz,Wanawake wazuri wa Tz,utalii na vivutio vya Tz nk kutegemea na interest ya Mkenya kuhusu Tz.
hatuendi hivi hivi,tutaenda na ushahidi wa kuweka screenshots (najua wakenya hampendi screenshots zangu ila hakuna namna[emoji23] [emoji23] ) ambazo zinaowaonyesha wakenya wakijadili affairs za Tz.
nimeanza na hizo chache ila nyingi zitafata kutegemeana na momentum ya thread.
pia nitaleta screenshots ambazo zinawaonyesha wakenya waki-pay attention kuwa-discuss diamond plutnumz,ali kiba na baadhi ya wanamuziki wakubwa nchini tz.
Annael ichoboy01