Tanzanians Show us your Estates

Mubadilishe TZ itoke LDC Kwanzaa,hapo mtakuwa mmefanya jambo la busara
Estates zitanawili tu tukiongeza watu wa uchumi wa kati middle inkamu la sivyo itakuwa ni mwendo wa corrugated dream houses
 
Sawa ila mbona life standard ya tz ni bora kuliko yenu wala sukuma week.
Huku mtu unajenga utakapo unafanya utakalo sio km Kenya wanajenga wachache walo nazo.
Usikute huna ht pikipiki na umepanga hapo ulipo.
Mubadilishe TZ itoke LDC Kwanzaa,hapo mtakuwa mmefanya jambo la busara
 
Na ndio maana mna maden mengi kuliko sasa rais wenu watamchabanga km hatolipa maden ya mchina na WB mla sukuma week ww.
Hayo maendeleo yanakusaidia nn km ww unakula sukuma week daily na umepanga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]....Mshukulu mchina kwa kuwajengea estate ya kwanza Tanzania[emoji38][emoji38]....na bado hapo anachezea hasara sababu sioni mpangaji yeyote akija kuishi hapo, sababu wanainchi wote wa Dar ni masikini na wanaridhika kuishi kwenye slums [emoji26][emoji16][emoji16]
 
Sawa ila mbona life standard ya tz ni bora kuliko yenu wala sukuma week.
Huku mtu unajenga utakapo unafanya utakalo sio km Kenya wanajenga wachache walo nazo.
Usikute huna ht pikipiki na umepanga hapo ulipo.
Hebu dhibitisha haya madai yako maana Mimi naweza kukuletea ushahidi kwamba wakenya tunaishi Maisha Bora kuwaliko
 
Isitoshe wanawezaje kujenga nyumba nzuri hivi halafu wanakufa njaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu, wewe ndio wale blacks mnadhani we never invented anything, you're so misinformed. Nitakuja anzisha thread ya vitu vilogunduliwa na black men ndio mjue bila ya black men kusingekuwa na computer, calculator, hata hizo taa anasifiwa mzungu gani sijui, ile filament ilogunduliwa na black man.
Brainwashed
 
Hivi wakenya mna hata ardhi ya kujenga? Kama mlima kilimanjaro mnatuonesha picha upo Kenya sembuse nyumba za Google?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…