rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Estates zitanawili tu tukiongeza watu wa uchumi wa kati middle inkamu la sivyo itakuwa ni mwendo wa corrugated dream housesMubadilishe TZ itoke LDC Kwanzaa,hapo mtakuwa mmefanya jambo la busara
Mubadilishe TZ itoke LDC Kwanzaa,hapo mtakuwa mmefanya jambo la busara
Kazi tunafanya kila siku kuijenga nchi yetu wala usiwe na hofu kuhusu hilo hata siku moja ndo maana tuko na uchumi mkubwa kuwaliko. Mngekuwa wachapakazi kutuliko, hatungekuwa mbele yenu kiuchumi na kimaendeleo, na Nairobi haingekuwa ndio mjii muhimu zaidi ukanda huu kuliko zote. Ugua pole
Hyo ndio kenya mnayoisifia imejengwa pachache pengi marehemWanapenda slums?
Hapa sio donholm Naivas?Mtaani umojaView attachment 1115124
Yap....hiyo ni Donholm na upande wa juu hapo ndio Umoja inaanziaHapa sio donholm Naivas?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]....Mshukulu mchina kwa kuwajengea estate ya kwanza Tanzania[emoji38][emoji38]....na bado hapo anachezea hasara sababu sioni mpangaji yeyote akija kuishi hapo, sababu wanainchi wote wa Dar ni masikini na wanaridhika kuishi kwenye slums [emoji26][emoji16][emoji16]
Hebu dhibitisha haya madai yako maana Mimi naweza kukuletea ushahidi kwamba wakenya tunaishi Maisha Bora kuwalikoSawa ila mbona life standard ya tz ni bora kuliko yenu wala sukuma week.
Huku mtu unajenga utakapo unafanya utakalo sio km Kenya wanajenga wachache walo nazo.
Usikute huna ht pikipiki na umepanga hapo ulipo.
Isitoshe wanawezaje kujenga nyumba nzuri hivi halafu wanakufa njaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watanzania tufanyeni kazi, maswala ya kuingia google na fb kutafuta nyumba nzuri ili tuwaonyeshe awa wakenya na sisi tupo vizuri ni ujinga....
Tufanye kazi tukawasaidie wakenya wanaokufa na njaa, sisi nchi yetu imebarikiwa na hilo tunalijuwa na hakuna haja ya kuwaonyesha wakenya kama tupo vizuri... Waacheni watapetape
Mkuu, wewe ndio wale blacks mnadhani we never invented anything, you're so misinformed. Nitakuja anzisha thread ya vitu vilogunduliwa na black men ndio mjue bila ya black men kusingekuwa na computer, calculator, hata hizo taa anasifiwa mzungu gani sijui, ile filament ilogunduliwa na black man.Wewe hapo umevaa boxer kama sio chupi, mchana umelia sahani, umepanda daladala au kuendesha gari lako toka nyumbani..... Yote hayo sio black tanzania wala black kenya mbona hukuyaacha? Epukana na akili za design hii!! Jenga hoja yako watu wakuelewa.
Kwa uelewa wangu, estate ni eneo maalum lilopangwa kwajili ya makazi na kuwekwa miundo mbinu stahiki sio hadi nyumba zifanane. Kila mmoja anaweza akajenga anavyotaka ila kwa mpangilio
Tuzungumze kijerumani ilihali tuna lugha yetuWhy dont you guys speak German? And Zanzibar, wasnt Zanzibar a British colony?