Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wizi ata Dar iko wacha kuongea kama mjinga
its more safeNajua kuna wizi lkn hilo siyo swali langu, swali langu ni kwa nini uko proud kuishi na gated community?
asante maana nilitaka POST shida MOJA ambayo ingewabidi waje BONGO waitafute iko wapi shenzi type hao.Watanzania tufanyeni kazi, maswala ya kuingia google na fb kutafuta nyumba nzuri ili tuwaonyeshe awa wakenya na sisi tupo vizuri ni ujinga....
Tufanye kazi tukawasaidie wakenya wanaokufa na njaa, sisi nchi yetu imebarikiwa na hilo tunalijuwa na hakuna haja ya kuwaonyesha wakenya kama tupo vizuri... Waacheni watapetape
its more safe
Tafuta ukuta uiongeleshe juu ujinga yako siwezani nayoLkn kwa nini uko proud kuishi kwenye gated community??? Kwa kawaida ni jambo la kusikitisha sana, ndo maana nashangaa!
Hutulia maeneo kama hayanionyeshe yenu hii niya middle class Nairobian
hazina majina bro?Hutulia maeneo kama haya View attachment 1110792View attachment 1110794View attachment 1110795View attachment 1110796View attachment 1110797
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Hakuna sababu ya kubishana kwenye nyumba. Inafahamika Watanzania wanamiliki nyumba kwa sababu wanamiliki ardhi lakini kenya ni matajiri tu ndio wenye ardhi na hivyo wengi wao ni wapangajiHiyo sasa ni sauti ya Mdanganyika wakati amefinywa kabisa.Tulishazoea hiyo.Mtuonyeshe Tandale na Mwananyamala kwa Kopa
Hakuna sababu ya kubishana kwenye nyumba. Inafahamika Watanzania wanamiliki nyumba kwa sababu wanamiliki ardhi lakini kenya ni matajiri tu ndio wenye ardhi na hivyo wengi wao ni wapangaji
Mna ardhiHiyo kweli, mpo ovyo sana, nyumba zimetapakaa bila mpango wowote, kwa Kenya tumewekeza sana kwenye mpangilio wa nyumba, kwa mfano hapa ninakoishi ipo sheria baina yetu aina ya nyumba zinazofaa kujengwa na pia hairuhusiwi kujenga nyumba zaidi ya orofa moja.
Jzi jzi umetoka kula kinyesiMdanganyika mwingine amefinywa sehemu nyeti…...