Tanzanians, show us your roads

NDINDA nilikuwa nasubiri uje kuwanyoosha hawa na hujaniangusha!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo naona ring roads, flyovers na Thika highway hazijafua dafu. Asee huu mnyoosho sijawahi ona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kenya ukiangalia ni kama southern belt tu na miji yote mikubwa imefungamana yaani mombasa, nakuru, kisumu, eldoret na Nairobi. Ukija bongo ni Dar, mwanza, Arusha, Mbeya, Tanga,Dodoma, Moro yaani miji imesambaa na inahitaji investment ya kweli kweli. Ila Ndinda haendi mbinguni
 
Hawana jipya zaidi ya Thika highway
 
Kweli hapo NDINDA kwa mwendo huu hafiki mbinguni😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…