Tanzanians, show us your roads

Tanzanians, show us your roads

chunya, mbeya
Screenshot_20190513-101857_Instagram~2.jpeg
 
Tz roads, usiku.
 
Nimetembea Arusha, Moshi Dodoma na Dar..Barabara hapo zipo safi lakini sikutarajia mikoani pia barabara zimetulia hivi...
Kwa ukubwa wa ardhi ya tanzania, mumejitahidi sana aisee pongezi
Unaweza ukaanzia safari yako Dar hadi mpanda kupitia morogoro 200km-Iringa 300km-Mbeya 350km -tunduma-100km-Sumbawanga 225km-Mpanda 350km bila kugusa vumbi ...
Kama haitoshi unaweza kuzungukia Tabora from Mpanda-200+km na kurudi highway ya Dar Mwanza through nzenga kupitia Singida-Dodoma -kondoa-Arusha -Tanga-Pwani ukarudi zako Dar bila tatizo popote pale
 
Ka nchi kenyewe kadogo vibarabara hivyo ukiviunganisha kilometers si sawa na Dar-Karagwe au Arusha-Tunduma
 
Nimeshindwa kuelewa katika hii battle mnaangalia quality au idadi ya barabara,sababu kama ni wingi wa barabara picha inaezapigwa sehemu tofauti kwenye hiyohiyo barabara moja
Mkishazidiwa hua mna maneno mengi sana,Barabara nyingi zinamaelezo kutoka wapi hadi wapi na ni km ngap lakini huwez kuona ilo. ..
Sasa ukivyoomba uonyeshwe barabara ulitegemea nn
 
Back
Top Bottom