Lung'wecha
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 927
- 574
chunya, mbeya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...huku kwetu ujenzi wa barabara 6 umesitishwa nchi yetu imefilisika
Yes [emoji23], uko vyema.Utakuwa umepiga pic na tecno wareva wewe
Ndio penyeweHii si mashamba ya miwa ya TPC
Hii ni render na imesimamishwa so usilete ujuha wakati tupo serious.Chalinze roadView attachment 1096129
jirani inaonekana we mwenyeji hapa Bongo kwa jinsi unavyotaja majina
Redhill Road. Will be one of the most beautiful roads after completion.
Hahaha tena bila preparation yyteLeo mungiki Mmeto mbwa
Hii Chalinze ya wapi?!!!!!!Chalinze roadView attachment 1096129
Unaweza ukaanzia safari yako Dar hadi mpanda kupitia morogoro 200km-Iringa 300km-Mbeya 350km -tunduma-100km-Sumbawanga 225km-Mpanda 350km bila kugusa vumbi ...Nimetembea Arusha, Moshi Dodoma na Dar..Barabara hapo zipo safi lakini sikutarajia mikoani pia barabara zimetulia hivi...
Kwa ukubwa wa ardhi ya tanzania, mumejitahidi sana aisee pongezi
How you wishHii ni render na imesimamishwa so usilete ujuha wakati tupo serious.
Jengeni highway za nguvu,Nyerere road dsm View attachment 1096435
Mkishazidiwa hua mna maneno mengi sana,Barabara nyingi zinamaelezo kutoka wapi hadi wapi na ni km ngap lakini huwez kuona ilo. ..Nimeshindwa kuelewa katika hii battle mnaangalia quality au idadi ya barabara,sababu kama ni wingi wa barabara picha inaezapigwa sehemu tofauti kwenye hiyohiyo barabara moja