Tanzanians, show us your roads

Tanzanians, show us your roads

Kyaka - Bugene Karagwe

DOA1RkOXcAEK26p.jpeg
DOA1UK9W0AAt07n.jpeg
 
Jengeni highway za nguvu,
Ni aibu hamna
Tukiwaambia Tanzania sio level yenu mnadhani tunatania, sasa fungueni uzi wa Kulinganisha Hospitals kama hamtakimbia, Tanzania ni model country hapa East and Central Africa.
 
Kenyans Mwambieni Uhuru a-invest kwa road infrastructure like TZ aache longolongo ya kuwapa hope ati Kenya inaenda uza Maparachichi Uchina!!!
Nikifanya diagnosis Microscopic view zile Barabara za County zilivyo ni hatari kwa Kenya Citizens!!!
 
Kenyans Mwambieni Uhuru a-invest kwa road infrastructure like TZ aache longolongo ya kuwapa hope ati Kenya inaenda uza Maparachichi Uchina!!!
Nikifanya diagnosis Microscopic view zile Barabara za County zilivyo ni hatari kwa Kenya Citizens!!!
Tanzania hakuna barabara kuna vipande vya lami, two years repairs zinaanza then mashimo unaweza kufichama
 
Hatutaki ligi za kijinga tuko busy tunafanya kazi,izo bypass zilizo jengewa na wachina zina wasumbua wakati hamna bus stations za maana.
 
naona road chache tu upand wa tanzania...yani chunya,mikumi,ngorongo...basi hzo picha zimetumwa karibia mia moja ya hzo tu...
Zimetumwa mob acha kelele,moro-dodoma-iringa-mbeya-singida-tanga-Ruvuma-Mpanda -Rukwa-Tabora-Mwanza-Dsm-Klm-Manyara
 
Serikali imefanikiwa kukamilisha ujenzi wa barabara kama ifuatavyo:-
(i) Dodoma – Manyoni - (127)
(ii) Singida – Shelui - (Km 110)
(iii) Nzega – Ilula na Tinde - Isaka (Km 169)
(iv) Nangurukuru – Mbwemkuru - Mingoyo (Km 190)

(v) Mkurunga – Kibiti - (Km 121)
(vi) Pugu – Kisarawe - (Km 6.6)
(vii) Singida – Isuna - (Km 63)
(viii) Kyamyorwa – Buzirayombo – Geita (Km 220)
(ix) Kigoma – Kidahwe - (Km 36)
(x) Chalinze – Morogoro - Melela - (Km 129)
(xi) Tunduma – Songwe - (Km 71)
(xii) Dodoma – Morogoro - (Km 256)
(xiii) Tarakea – Rongai – Kamwanga - (Km 32)
(xiv) Rombo Mkuu – Tarakea - (Km 32)
(xv) Geita – Busisi - (Km 92)
Miradi ambayo ipo katika hatua mbalimbali za utekelezaji ni:-
(i) Manyoni – Isuna - (Km 54)
(ii) Kagoma – Lisahunga - (Km 154)
(iii) Tabora – Malagarasi – Uvinza – Kigoma (Km 364)
(iv) Ndundu – Somanga - (Km 60)
(v) Arusha – Namanga - (Km 105)
(vi) Tanga – Horohoro - (Km 65)
(vii) Mwandiga – Manyovu - (Km 60)
(viii) Masasi – Mangaka - (Km 54)
(ix) Singida – Babati – Minjingu - (Km 224)

(c) Kukamilisha ukarabati wa barabara zote ambao unaendelea na
ujenzi kwa kiwango cha lami ambao umekwisha anza katika
Barabara Kuu na Barabara za Mikoa kama ifuatavyo:
• Manyoni – Isuna (Km 54);
• Kagoma – Biharamulo – Lusahunga (Km 154);
• Ndundu – Somanga (Km 60);
• Sumbawanga – Matai – Kasanga (Km 112);
• Marangu – Tarakea – Rongai – Kamwanga (Km 98);
• Minjingu – Babati – Singida (Km 222);
• Korogwe – Handeni (Km 65);
• Mziha – Turiani – Magole (Km 84.6)
• Dumila – Kilosa (Km 63)
• Bariadi – Lamadi (Km 71.8);
• Mbeya – Chunya – Makongolosi (Km 115);
• Tanga – Horohoro (Km 65);
• Masasi – Mangaka (Km 54);
• Makofia – Msata (km 64);
• Mwandiga – Manyovu (km 60);
• Handeni – Mkata (km 54);
• Kisarawe – Maneromango (Km 54);
• Njombe – Makete (Km 109).
• Barabara ya Kilwa/DSM (km 12);
• Barabara ya Mandela (km 16);
• Msimba – Ikokoto – Mafinga (Km 219);
• Arusha – Namanga (Km 105);
• Chalinze – Segera – Tanga (Km 245); na
• Isaka – Lusahunga (km 242)
• Kwasadala-Masama (Km 12.2);
• KiboshoShine-Kwa Raphael-International School (Km 43);
• RauMadukani-Mawela-UruNjari (Km 12.5);
• KiruaNduoni-Marangu Mtoni (Km 31.5);
• Kahama Mjini (Km 5).
(d) Kuanza Ujenzi mpya na ukarabati kwa Kiwango cha Lami Barabara
Zifuatazo:
40
• Bunda – Kisorya – Nansio (Km 93);
• Tunduma – Sumbawanga (Km 230);
• Rujewa – Madibira – Mafinga (Km 151);
• Babati – Dodoma – Iringa (Km 523);
• Sumbawanga – Kanyani – Nyakanazi (Km 562);
• Nata – Fort Ikoma (Km 141);
• Nzega – Tabora (Km 116);
• Manyoni – Itigi – Tabora (Km 264);
• Ipole – Koga – Mpanda (Km 255);
• Makurunge – Saadani – Pangani - Tanga (Km 178);
• Matai – Kasesya (Km 65);
• Mangaka – Mtambaswala (Km 65);
• Mto wa Mbu – Loliondo – Mugumu – Nata – Makutano (Km 452);
• Kyaka – Bugene (km 59);
• Mbinga – Mbamba bay (Km 66);
• Tunduru – Namtumbo (Km 194);
• Kamwanga – Sanya Juu (Km 75);
• Tabora – Urambo (Km 90);
• Uvinza – Kidahwe (Km 77);
• Daraja la Malagarasi na barabara zake (Km 48);
• Uyovu – Bwanga – Biharamuro (Km 112);
• Kisesa –Usagara (Km 17);
• Namtumbo – Songea (Km 70);
§ Peramiho – Mbinga (Km 78);
§ Kawawa Jct – Mwenge – Tegeta (Km 17);
• Segera – Same – Himo (km 261);
• Makambako – Songea (km 295);
• Mtwara – Masasi (km 200);
• Arusha – Moshi – Himo – Holili (km140);
• Arusha – Minjingu (km 104);
• Nyanguge – Musoma – Sirari (km 262); na
• Sanya Juu – Bomang’omba (Km 25).
(e) Kuzifanyia Upembuzi na Usanifu Barabara Zifuatazo:-
• Tabora – Mambali – Bukene – Itobo – Kahama (Km 149);
• Lupilo – Malinyi – Kilosa kwa Mpepo – Londo – Kitanda (km 396);
• Ifakara – Mahenge ( Km 67);
• Kibondo – Mabamba (km 35);
• Kolandoto- Lalago - Mwanhuzi - Matala - Oldeani Jct (km 328);
• Omugakorongo – Kigarama – Murongo (km 105);
• Mpemba – Isongole (Tanzania/Malawi) (km 49);
• Soni – Bumbuli –Dindira – Korogwe (km 74);
41
• Makofia – Mlandizi – Vikumburu (Km 148);
• Kibaoni – Majimoto – Inyonga Km 162);
• Mpanda- Ugala – Kaliua – Ulyankulu – Kahama (km 428);
• Makongolosi- Rungwa – Mkiwa (km 412);
• Mtwara – Newala – Masasi (km 209);
• Handeni – Kiberashi – Kondoa – Singida (Km 460);
• Kibaha – Mapinga (Km 23);
• Geita-Bukoli-Kahama (Km 107);
• Mbande-Kongwa Jct – Mpwapwa (Km 50).

HII NDIO TZ
 
Back
Top Bottom