sevenup
JF-Expert Member
- Aug 17, 2018
- 2,547
- 2,447
Hiyo kwanza iko mashambani....post moja toka Dar ni heshimu TanzaniaHiyo sio interchange, kwanza lazima ufute msemo wako huo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo kwanza iko mashambani....post moja toka Dar ni heshimu TanzaniaHiyo sio interchange, kwanza lazima ufute msemo wako huo.
Lazima kwanza tukubaliane, tunashindanisha kitu gani?, acheni ulimbukeni wa kutaja vitu msivyovijuaHiyo kwanza iko mashambani....post moja toka Dar ni heshimu Tanzania
You must be sick in the head table down real facts from a credible source to ascertain your claims .Hahahahaha, kawaida yenu mkishinda mnageukia upande wa PILI, how do you measure the quality of the road from Picture?. Kenya mtasubiri sana kwa Tanzania, kumbuka Size ya Tanzania ni Mara mbili ya size ya Kenya, kama hizi barabara za Tanzania zikuhamishiwa Kenya, Turkana, Garisa, Samburu hadi Southern Somalia kutajaa barabara za lami tupu. Hahahahaha, Hahahahaha
Karatu- Makuyuni road
View attachment 1097380
Wewe kwanza ushawahiona interchange au unasikia tu?Langata interchange [emoji16][emoji16].... belowLazima kwanza tukubaliane, tunashindanisha kitu gani?, acheni ulimbukeni wa kutaja vitu msivyovijua
Kichaa kimekuanza lini?, lete ripoti yoyote ya mwaka 2018 kama hutojinyea ukiwa umekaa, Tanzania is far far ahed in tarmac roads, Kenya msahau kabisa kujilinganisha na Tanzania katika barabara.You must be sick in the head table down real facts from a credible source to ascertain your claims .
kenyas paved road network coverage is almost twice that of Tanzania despite Tanzania having a huge landmass.
Hahahahaha, eti hiyo ndio mnaita interchange, sasa ninaelewa tupo katika level tofauti, kama mlivyochora barabara na mkaziita BRT, HahahahahaWewe kwanza ushawahiona interchange au unasikia tu?Langata interchange [emoji16][emoji16].... belowView attachment 1097384
Which Kenya are you talking about?, the one which 60% of its budget goes to the pockets of corrupt politicians, the one which 50% of its revenue goes to pay salaries mostly politicians, the one which can't pay for its SGR, the one which failed to complete Galana kulalu which is very important project than any other project in Kenya?. Failed state.
Which Kenya are you talking about?, the one which 60% of its budget goes to the pockets of corrupt politicians, the one which 50% of its revenue goes to pay salaries mostly politicians, the one which can't pay for its SGR, the one which failed to complete Galana kulalu which is very important project than any other project in Kenya?. Failed state.
Hahahahaha, mlileta mada kuijaribu Tanzania, mumeona mumezidiwa na wingi wa barabara za lami, sasa mnageuza kwenye quality. Haya tuambia mnatumia kifaa gani cha kupimia quality ya barabara ukiwa hapa JF, tuweekeni hapa ili tukitumie kupimia hizi barabara. Hahahahaha, Hahahahaha, Tanzania hoyeeeeee
Hahahahaha, kawaida yenu mkishinda mnageukia upande wa PILI, how do you measure the quality of the road from Picture?. Kenya mtasubiri sana kwa Tanzania, kumbuka Size ya Tanzania ni Mara mbili ya size ya Kenya, kama hizi barabara za Tanzania zikuhamishiwa Kenya, Turkana, Garisa, Samburu hadi Southern Somalia kutajaa barabara za lami tupu. Hahahahaha, Hahahahaha