Tanzanians, show us your roads

Tanzanians, show us your roads

Hahahahaha, kawaida yenu mkishinda mnageukia upande wa PILI, how do you measure the quality of the road from Picture?. Kenya mtasubiri sana kwa Tanzania, kumbuka Size ya Tanzania ni Mara mbili ya size ya Kenya, kama hizi barabara za Tanzania zikuhamishiwa Kenya, Turkana, Garisa, Samburu hadi Southern Somalia kutajaa barabara za lami tupu. Hahahahaha, Hahahahaha
You must be sick in the head table down real facts from a credible source to ascertain your claims .
kenyas paved road network coverage is almost twice that of Tanzania despite Tanzania having a huge landmass.
 
Karatu- Makuyuni road
1097380
 
Lazima kwanza tukubaliane, tunashindanisha kitu gani?, acheni ulimbukeni wa kutaja vitu msivyovijua
Wewe kwanza ushawahiona interchange au unasikia tu?Langata interchange [emoji16][emoji16].... below
tapatalk_1557832147082.jpeg
 
You must be sick in the head table down real facts from a credible source to ascertain your claims .
kenyas paved road network coverage is almost twice that of Tanzania despite Tanzania having a huge landmass.
Kichaa kimekuanza lini?, lete ripoti yoyote ya mwaka 2018 kama hutojinyea ukiwa umekaa, Tanzania is far far ahed in tarmac roads, Kenya msahau kabisa kujilinganisha na Tanzania katika barabara.
 
Tatizo hujui brt, Kuna ya brt hapo, na mbili outer, jumlisha hizo tatu katikati unapata ngapi? Sita
Both sides? 12.

Haya kajitawaze.
Kama ni hivo basi sasa hii ni ngapi?
ThikaRoad0204b.jpeg
 
Weka picha acha kulialia. Kenya iko na 21,000km of tamarc road.
Which Kenya are you talking about?, the one which 60% of its budget goes to the pockets of corrupt politicians, the one which 50% of its revenue goes to pay salaries mostly politicians, the one which can't pay for its SGR, the one which failed to complete Galana kulalu which is very important project than any other project in Kenya?. Failed state.
 
Hehehe mbona maumivu.

Tanzania will forever remain behind Kenya na si siri.
Hahahahaha, mlileta mada kuijaribu Tanzania, mumeona mumezidiwa na wingi wa barabara za lami, sasa mnageuza kwenye quality. Haya tuambia mnatumia kifaa gani cha kupimia quality ya barabara ukiwa hapa JF, tuweekeni hapa ili tukitumie kupimia hizi barabara. Hahahahaha, Hahahahaha, Tanzania hoyeeeeee
 
Na hiyo size yenyu kubwa ndio bado Kenya iko na barabara km mingi kuwaliko.

Back
Top Bottom