Tanzania's cheap railway may be of poor quality

You will also say the tz-uganda crude oil pipeline is also of poor quality.
 
Ungejibu hoja ya ubora na uimara, ungeweza kuthibitisha huo uinjinia mwitu kati yetu.
masupervisor kwenye site za matofali mnakuaga wajuaji sana.. nadhani taarifa unazozitaka ziko wazi wizara husika, rahco na kampuni kuu ya uturuki iliyoshinda tenda na wasaidiizi wao kutoka ureno.. watembelee mchanganuo wote utaupata pale...
 
Ujenzi umeshaanza nyang'au wewe, wivu utakuua.
 
Una tatizo la uelewa. Mimi nimeongelea ubora na uimara wa hosteli zilizojengwa kwa bilioni 10. Siwezi kuongelea uimara na ubora wa reli ambayo hata mchoro wa designing haupo!!
 
Una tatizo la uelewa. Mimi nimeongelea ubora na uimara wa hosteli zilizojengwa kwa bilioni 10. Siwezi kuongelea uimara na ubora wa reli ambayo hata mchoro wa designing haupo!!
Hahahaha! Injiniarapa bana!!
 
Una tatizo la uelewa. Mimi nimeongelea ubora na uimara wa hosteli zilizojengwa kwa bilioni 10. Siwezi kuongelea uimara na ubora wa reli ambayo hata mchoro wa designing haupo!!
wengi dizain yako hua mkiulizwa uinjinia mmesomea hua mnadai ni utundu utundu tu na ujanja.. hamna vyeti kwaiyo mngejielekeza kwenye kukosoa miradi ya ujenzi wa nyumba za mgongo wa tembo na slop za wakulima wenzenu mashambani sio miradi mikubwa na complicated kama unayoikosoa...
 
Teh teh! Kweli mimi sina vyeti kama Daudi Bashite. Na ujanja ujanja ndiyo namna tunavyoishi chini ya serikali ya CCM. Kama una tatizo na lifestyle hii, wasaliana na Rais Magufuli.
 
Mi mbona siwaelewi, mbona mlalamikia wakenya na article yenyewe imeandikwa na mrwanda kwa gazeti la Rwanda
 
Ujenzi umeshaanza nyang'au wewe, wivu utakuua.
Mlifanya ground breaking juzi (ama ni jana?)
Ujenzi rasmi utaanza karibuni, hio mlio onyeshwa ilikua model (nafiki hata wachina ndo waliijenga pale mwanzoni kabla muwadukuze kwa hio dili)
Hua waijenga tu ili wawaonyeshe vile reli yenyewe itakua, kama mita 500 hivi ....
Hata huku kenya kabla waanza kujenga reli yenyewe waligenga model pale mombasa ambayo ndo ilitumika kwa ground braking,,, alafu baadae ndo walianza actual construction

Punguzeni wivu,mambo ya Tz ,tuachie wenyewe
 
Sio ya Wachina hiyo, ya Wachina ilikuwa Pwani wakati hii ya sasa ni Pugu, Dar es Salaam. Pesa za mwanzo za ujenzi zilishatolewa kwa hiyo hamna shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…