Tanzania's cheap railway may be of poor quality

Its a rwandan newspaper [emoji23][emoji23]

Uwezekano mkubwa mwandishi ni Mkenya (hiyo ni article ambayo hata wewe unaweza kupeleka gazetini), Wanyarwanda hawana upuuzi kama wenu. Kuna Mkikuyu mwingine huwa anaandika ujinga kuhusu Tanzania kwenye vyombo vya habari vya Afrika Kusini.
 
Always Kenyans are jealousy over Tanzanians development povu linawatoka tu hata tukitengeneza mita mbili za reli inakuhusu nini wewe mtu wa Kenya shame on you
What development


Show me How far the Tanzanian SGR HAS gone here is Kenyan sgr

 
Subiri iishe ndo uongee. Nyie reli yenu wanasiasa walipitishia hela nyingi mno. Ndo maana construction cost imeenda juu sana. Walikuwa wanatafuta pesa za uchaguzi.
You mean subiri ianze ?
 
huu ni wivu wa mwanamke mjane kwa marehemu Mumewe
 
Unaweweseka! Unatetemeka, unaserereka... Na bado! In the next five years, Tanzania will be leading East Africa by example. In terms of infrastructure and volume of trade and commerce...
Show us what infrastructure is this hehehe mnaongea tu building infrastructure kwa ndoto zenu
 
Uwezekano mkubwa mwandishi ni Mkenya (hiyo ni article ambayo hata wewe unaweza kupeleka gazetini), Wanyarwanda hawana upuuzi kama wenu. Kuna Mkikuyu mwingine huwa anaandika ujinga kuhusu Tanzania kwenye vyombo vya habari vya Afrika Kusini.
Cheap ....kula facts lowkey wacha pang'ang'a mingi bure
 
Wewe Mkikuyu Mwenye Wivu wa Kijinga Umerudi? Wewe Unafanya Kazi Ubalozi wa Kenya Tanzania - Usisahau Kanuni za Vienna Convention on Diplomatic Relations. Umekumbushwa!!!!!
 
The funny thing is, na nyinyi wakenya mnakubali kumeza uwongo.
Ni ukweli 1.5 bn$???

Am not Stupid

Addis ababa Tram system which is only 17km long cost 400mn$ si mngeomba tram ya 50km izunguke Dar badaka ya Reli nzima
 
huu ni wivu wa mwanamke mjane kwa marehemu Mumewe
Watanzania mnajishuku sana! sijui ni hamjiamini au vipi.....

Anyway, wengi wenu mmeshinda mki imba imba eti tuko a wivu.... Hii inamaanisha hizi siku zote tangu 2015 reli ya Kenya ilipoanza kujengwa mmekua na viazi kooni,, wivu tele mmemezea hizi siku zote mkiona mapicha ya reli ya Kenya kila siku,....hahahahah..... Sasa mwafikiria eti kwavile mmeanza yenu eti ni wakati wa sisi nasi tuwe na wivu...... poleni sana binadamu hua na wivu na kitu ambacho hana, reli yetu ishajengwa phase one, mapicha yanafurahisha ajabu, hata juzi niliota niko pale Nairobi South nafanya check in kwenda Mombasa na kisho flani... Sina mda na kuwa na wivu ya kitu hata sijakiona kiko vipi....

Hebu ni kuulize, mtu flani kama wewe ukinunua gari jipya alafu jirani yako hana (ashikwe na wivu)..... baada ya miezi/miaka kadhaa, uskie jirani yako naye ananunua gari lipya na bado hata hujaliona ni gari la aina gani, je utashikwa na wivu wakati una gari lako tayari ambalo unalipenda???????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…