Tanzania's Tundu Lissu recovering well at Aga Khan Nairobi

Mbona unalalamika CCM haijafanya kitu na inashinda kila uchaguzi kwa kishindo?

Tundu anaropoka kwa sababu zake binafsi za kisiasa ndio maana anabadilika kama kinyonga. Narudia tena, hamna popote duniani mtu akaitwa shujaa kwa kuropoka.

Akipona ajifunze kufanya siasa za kistaarabu na aache maneno ya kukera. Hata kwa mabwana wake wa kizungu hamna siasa za kipuuzi kama anazofanya yeye.
 
Usifute mchango wako huu
 
mkuu mbona hujibu swali langu??? unasema anaropoka tu je kwa kupinga miswada mibovu hadi ikafanyiwa marekebisho ili yawe na maslahi kwa umma haimfanyi kuwa shujaa???

unasema ccm inashinda kila uchaguzi !!! uchaguzi upi huo ama ule wa jecha na lubuva!!! aseee staki kuingia huko maana tutakesha ila nisaidie tu kwanni wanamchagua lisu kila akigombea hata TLS pia wamempa kwa kishindo kma hana analoweza why walimpitisha???

tuanzie hapo kwanza
 
Kushinda uchaguzi wowote sio kipimo cha uwezo wa kuongoza. Haingii akilini kutwa kuropoka wakati jimboni kwako hujatimiza ahadi hata moja.

Hiyo kujiita kamanda hakumsaidii lolote.
 
Mashujaa wote duniani walipotezwa kwa njia ambayo mnataka kufanya kwa Lissu, lakini tunawaambia hamtaishi milele chini ya jua, Lissu mtaua mwili tu, lakini roho yake hamko na uwezo wa kuiua kamwe, ghadhabu ya Mungu itakuwa juu yenu iwe mkiwa hapa duniani au kwenye makaburi yenu
 
Kushinda uchaguzi wowote sio kipimo cha uwezo wa kuongoza. Haingii akilini kutwa kuropoka wakati jimboni kwako hujatimiza ahadi hata moja.

Hiyo kujiita kamanda hakumsaidii lolote.
dah ila kipi ambacho huelewi mpaka ssa nmesema mbon anawapigania watanzania wote bungeni hivi ikipitishwa miswada yenye maslahi ya umma nikatolea mfano wa gesi na mafuta je hauna faida kwa watu wa jimbo lake pia??
 
Kushinda uchaguzi wowote sio kipimo cha uwezo wa kuongoza. Haingii akilini kutwa kuropoka wakati jimboni kwako hujatimiza ahadi hata moja.

Hiyo kujiita kamanda hakumsaidii lolote.
Unajua majukumu na wajibu wa mbunge kikatiba lakini? Tuanzia hapa maana ndio kwenye msingi wa swali lako kuwa Lissu hajasaidia jimbo lake.
 
Hii lugha hii ya malkia... atakuwa mchadema kaandika...

Hakuna mkenya wa kuandika hii lugha ya 's na in kibao

Sent from "La -Vista"
 
We ni msukuma usituigizie... na mwenzako wanjara

Sent from "La -Vista"
 
Hamtaishi milele akina nani? Mimi nahusika vipi hapo? Mimi hoja yangu ipo kwenye kukataa huo unaoitwa ushujaa wa Tundu.
 
Unajua majukumu na wajibu wa mbunge kikatiba lakini? Tuanzia hapa maana ndio kwenye msingi wa swali lako kuwa Lissu hajasaidia jimbo lake.

Kila mtu anapogombea ubunge anatoa ahadi kwa wananchi wake kama ilivyo kwa Urais. Hapo ndipo kwenye msingi wa Tundu kutimiza ahadi ama la, blah blah zake na maneno ya kukera sio ahadi yake kwa watu wa Singida Mashariki.

Mbona Mwnyekiti wake wa chama haropoki hovyo kama yeye, umaarufu wa kijinga anaoutafuta hauna tija kwa wananchi.
 
dah ila kipi ambacho huelewi mpaka ssa nmesema mbon anawapigania watanzania wote bungeni hivi ikipitishwa miswada yenye maslahi ya umma nikatolea mfano wa gesi na mafuta je hauna faida kwa watu wa jimbo lake pia??

Anajipigania yeye sio wananchi, ndio maana anabadilikabadilika kwenye mambo hayo hayo kutegemeana na hali ya mambo. Alimuita Edward fisadi na kumtukana, leo hii Edward kahamia kwake anamuita kamanda. Ni mchumia tumbo kama wengine.

Leo atajifanya ana uchungu na dhuluma kwenye madini, kesho Rais akichukua hatua anaanza kuleta dhihaka. Ajifunze siasa za kistaarabu na aache kuropokaropoka.
 
Hamtaishi milele akina nani? Mimi nahusika vipi hapo? Mimi hoja yangu ipo kwenye kukataa huo unaoitwa ushujaa wa Tundu.
Ebu rudi nyuma usome post yako #37 mwisho mwisho wa post yako, ulivyomalizia wewe uko upande wa watesi wa Lissu maana umeonesha rangi yako halisi ilivyojaa chuki kupindukia dhidi ya Lissu
 
Swali langu limejikita kwenye kukuuliza majukumu ya mbunge kikatiba iwapo unayajua ili tuaone kama Mh Lissu hatimizi majukumu yake ipaswavyo......hizo zingine unaleta ni chuki zako binafsi kwa Mh Lissu
 
Ebu rudi nyuma usome post yako #37 mwisho mwisho wa post yako, ulivyomalizia wewe uko upande wa watesi wa Lissu maana umeonesha rangi yako halisi ilivyojaa chuki kupindukia dhidi ya Lissu

Tundu kweli namchukia kutokana na mambo yake ya kitoto ila sipo upande wowote. Sijashikiwa akili na mtu yeyote.
 
Kwani hapa jf huoni kila mtu Anasema Magufuli ndio alitaka kumuua TL kwani umeona wakikamatwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…