Tanzania's Tundu Lissu recovering well at Aga Khan Nairobi

Hahahaha kumchukia kwako Lissu unaona bora hata akifa tu ndio furaha yako itakuwepo?

Kinachotakiwa ni aache kukera watu kwa maneno yake ya dhihaka, risasi huenda zikamuweka kwenye mstari.
 
Kinachotakiwa ni aache kukera watu kwa maneno yake ya dhihaka, risasi huenda zikamuweka kwenye mstari.
Lissu hata mkimuua hamtabaki salama damu yake itaenda nanyi hadi makaburini kwenu, kumwaga damu ya mtu asiye na hatia sababu ya roho mbaya zenu zilizojaa ufuasi wa shetani itawalilia milele. Kifo cha Lissu hadi sasa mmeshindwa kutimiza azma yenu ovu maana Mungu wa Mbinguni aliyeumba viumbe vyote vionekanavyo na visivyoonekana amesimama juu yake na ataendelea kumlinda dhidi ya watesi wake mnaoamini kifo ndio ndio suluhisho la furaha zenu.

Wako wapi Bokassa, Mabutu Seseko, Saddam Hussein, Idd Amin, na madikteta wengine wengi tu jamii yako walioua malaki ya watu! Kutofautiana namna ya kuwaza na kufikiri suluhisho lake siyo kutoa roho ya mtu bali ni kujibu hoja zake. Lissu vyovyote mtakavyomfanyia umafia lakini atabaki kuwa jasiri na ataishi mioyoni mwa watu maana ameonesha ujasiri wa kutoogopa maovu ya mfalme kuyasema jambo ambalo watu wote pamoja na usomi wao limewashinda na kujificha chini ya uvungu mwa meza
 

Maneno ya kujifariji hayo na ya mtu aliyekata tamaa, hata Philemon Ndesamburo, Bob Makani wote walikuwa Chadema lakini walifariki. Kifo kila mwanadamu atapitia bila kujali katenda maovu au mema.

Mbona akina Profesa Jay, Joseph Selasini na wengineo wanafanya siasa za kistaarabu na hawapungukiwi na kitu.
 
Wewe endelea kujifariji kuwa kifo cha Lissu kitaleta furaha katika maisha yako na hao wauaji wenzio
 
Hufahamu siasa adui anaweza kuwa rafiki. Ila hoja zake zipo pale pale. Unataka kuniambia Lissu akisema anahamia CCM atakataliwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huh ,ati "alichopata ni onyo tu" what the f^$K??? ,Wewe unashangilia kuchukua sheria mkononi na kuchukua maisha ya mtu juu tu ya siasa? Demokrasia na haki za binadamu gani hizo?
 
Acha kuongopa unasema hamna uhuru wa kujieleza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea facts kabisa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hapa jf huoni kila mtu Anasema Magufuli ndio alitaka kumuua TL kwani umeona wakikamatwa?
nikuulize mbona JF juwa wanatoa post flani toka server zake....wanatambua wana deal na dikteta na wanaweza waka kamatwa saa yoyote...muulize mkurugenzi....duh! hii ni nchi ama korokoroni? mmeanza kukaribia KOREA KASKAZINI KWA UCHWARA
 
nikuulize mbona JF juwa wanatoa post flani toka server zake....wanatambua wana deal na dikteta na wanaweza waka kamatwa saa yoyote...muulize mkurugenzi....duh! hii ni nchi ama korokoroni? mmeanza kukaribia KOREA KASKAZINI KWA UCHWARA
Nikuambie tu kitu hakuna Rais duniani mzalendo patriotic and loyal kama Magufuli, Magufuli wabaya wake aliowadhibiti ndio waliotekeleza hili ili kumchafua Tanzania na duniani lakini piga ua Magufuli atabaki kuwa Rais bora Tanzania na tutampa ushirikiano 2020 lazima tumrudishe ikulu
 
nampenda sana Magu ila ana shida na uhuru wa raia na wanasiasa kujieleza...hapo tu ndio sikubaliani naye ila 98% he is the best...
 
Acha kuongopa unasema hamna uhuru wa kujieleza?

Sent using Jamii Forums mobile app
Siongopi, ila nimetumia ushahidi wa tafiti za kimataifa, ingia hapa, www.rsg.org , ulinganishe kati ya Kenya na TZ, na imekua hivyo tangu nchi hizi mbili zilipopata uhuru, ukilinganisha hii ripoti ya mwaka 2017 na ile ya mwaka 2016 utaona Tanzania imeporomoka, hii ni kutokana na Magufuli kuanza kukandamiza wapinzani, lakini bado Tanzania ipo juu ya Kenya tofauti ya nafasi 12
Umeongea facts kabisa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app


Sent using Jamii Forums mobile app
 
nampenda sana Magu ila ana shida na uhuru wa raia na wanasiasa kujieleza...hapo tu ndio sikubaliani naye ila 98% he is the best...
Mkuu kuhusu Magufuli hajakataza wanasiasa kuongea, wanafanya mikutano kwenye majimbo yao na press conference kila siku na kumtukana Magufuli mpaka huko Bungeni,

Magufuli amekataa maandamano kwa nia njema kwamba ndio utaandamana lakini mwisho wa siku utawasilisha message kwa serikali ambayo pia wangeweza kupata hiyo message bila maandamano

Ambayo kihistoria maandamano Tanzania awamu ya kikwete ndio yaliyoua watu wengi kwenye siasa na kurudisha shughuli za maendeleo nyuma sana.

Kusudi la Rais kukataza maandamano ni kuchochea kuchapa kazi na kuacha siasa za maandamano ambazo hazitatui shida za wananchi hakuna maji, infrastructures, elimu bora, good Healthcare zinazopatikana kwenye maandamano.

Lakini ukumbuke enzi za Kikwete chuki kwa Rais ilikua ni mara tano ya unazozisikia leo kwa Magufuli.
 
nampenda sana Magu ila ana shida na uhuru wa raia na wanasiasa kujieleza...hapo tu ndio sikubaliani naye ila 98% he is the best...
Ninakuunga mkono katika hili, hapo ndipo kwenye Mapungufu yake. Ninahisi labda anataka kufanya vitu vingi ndani ya muda mfupi kwa hiyo hataki mtu yeyote au kitu chochote kumchelewesha, japo anaweza akawa na nia nzuri ila njia anayotumia sio saws katika eneo hili. Katika hili la Tundu Lisu, uwezekano wa serikali kuhusika ni 95%, na kama ikifika mwisho wa mwezi huu wahusika hawajakamatwa, hiyo itathibitisha kwamba 100% ni serikali na hakuna mtu atakayekamatwa tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kweli kabisa ila sio swala la wanasiasa pekee yake....what abt when he arrests musicians like Nay wa Mitgeo...kulikuwa na lyrics flani zilizomtaja rais na hazikumpendeza rais hivyo akaamrisha kukamatwa kwa mwanamziki yule...pili, mkurugenzi wa JF pia alikamatwa kwa kosa lipi? wanahabari wanafaa kukubaliwa kuripoti ukweli wa mambo hata iwe haimpendezi rais? au sio mkuu? angalia Marekani, CNN ABC etc wanaripoti mambo mabaya kumhusu Trump ila hawezi akaamrisha kukamatwa kwa yeyote ama kufungwa kwa kampuni yoyote...imagine na yule ni rais wa dunia ....
 
very true but when it comes to other matters, especially kupigana na wapiga dili (corrupt), nakwambia kuwa kuna wakenya wengi sana wanampenda Magu...mimi nikiwa wa kwanza
 
Kuhusu nay wa mitego hakuna ushahidi wa moja kwa moja Rais kuhusika, issues ambazo utaweza kumuhusisha Rais na kiukweli ukaeleweka na kuishaishawishi jamii ni kama hii ya Lissu.

Lakini come on let's be realistic kweli eti Magufuli amkamate mtu kama nay au roma seriously??? Mbona hawana ushawishi wowote kwenye jamii sidhani kama attention community pays to nay na roma inafika hata theluthi ya attention ambayo Lissu anaipata kwenye jamii.

So napinga Magufuli hahusiki kabisa, kuhusu vyombo vya Habari ni in accordance with the law that's why are in the legal system, they have to obey and follow the laws and regulations of their field.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…