Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Tuache kutangaza wenyewe tusibiri bbc. We kweli bwegeThe Sheriff,
nasubili cnn, bbc, voa,dw,al-jazeera kutangaza hii habari kwa fujo huko nje km za corona na za kina lissu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuache kutangaza wenyewe tusibiri bbc. We kweli bwegeThe Sheriff,
nasubili cnn, bbc, voa,dw,al-jazeera kutangaza hii habari kwa fujo huko nje km za corona na za kina lissu..
Pongezi za dhati kabisa kwa awamu hii ya tano.Naachoomba ayo mawe yasipewe majina ya " hapa kazi tu"
Sio kwa serikali hii ya Magufuli nakwambia.Ilo jiwe litawekwa wapi ili watalii wawe wanaliona?
maana Tanzania kuna wanyama wakorofi sana.kama mamba waliweza kula injini ya roli mto wami haishindikani paka kula ilo jiwe.
Atapewa hiyo ni haki yakeHiyo bil 7 atapewa kweli au ni kapigiwa thamani tu?
Kesha..
Dah wazeee wa kukokotoa ila angetakiwa apewe mtaalamu wa saikolojia akae mahali hata mwezi kupumzisha akili na mwili akirudi aitumie hela yake kwa hekima na maarifa bila hivyo anaweza pata kihoro.Bilion 7.4 akiweka deposit bank tyfanye akipewa 10% ni milion 740.
ukigawa kwa mwezi ni milion 60
ukigawa kwa siku 30 ni = na milion 2 kwa kila siku.
Ushauri mzuri Sana mkuu, Ila alikomalizia tayari kaweka utani tenaKatika vijana makini wachambuzi na wenye uelewa mkubwa ,basi Malisa GJ ni namba 1.
Nimesoma hii artcle yake juu ya Tanzanite, hadi nimetamani vijana kama hawa wawe msaada kwenye kuweka mikakati ya Taifa hili.
Ivi huyu Kijana ni mbongo kweli?
Kwa kweli sijawahi mwona ila inaonekana ni bonge la genius...
Hivi mmiliki halali wa hii article ni nani? Maana kuna mwanajf nae kaeleza hivihivi kama vile ni yake ila jamaa fulani akamwambia ameikopi fb kutoka kwa xxx sijui.We nae unasema ni ya Malisa.
Hoja nzuri sana ila mmiliki halisi wa makala sijamjua bado na ningependa nimjue.
Hivi mmiliki halali wa hii article ni nani? Maana kuna mwanajf nae kaeleza hivihivi kama vile ni yake ila jamaa fulani akamwambia ameikopi fb kutoka kwa xxx sijui.We nae unasema ni ya Malisa.
Hoja nzuri sana ila mmiliki halisi wa makala sijamjua bado na ningependa nimjue.
Katika vijana makini wachambuzi na wenye uelewa mkubwa ,basi Malisa GJ ni namba 1.
Nimesoma hii artcle yake juu ya Tanzanite, hadi nimetamani vijana kama hawa wawe msaada kwenye kuweka mikakati ya Taifa hili.
Ivi huyu Kijana ni mbongo kweli?
Kwa kweli sijawahi mwona ila inaonekana ni bonge la genius.
Na #Malisa_GJ
----
Saniniu Laizer mchimbaji mdogo wa madini huko Mererani ameamka Bilionea baada ya kupata mawe mawili ya Tanzanite moja lenye uzito wa 9.2KGs na jingine 5.8KGs yenye thamani ya TZS 7.8 Bilioni.
Watu wengi wanajadili kuhusu Tanzania kumpata Bilionea mpya. Ni jambo zuri lakini kuna jambo jingine ambalo halijadiliwi. Na pengine ni la msingi zaidi kuliko Ubilionea wa Laizer.
Hii Tanzanite ya 9.3KGs inaweza kuwa ndio kubwa zaidi kuwahi kupatikana duniani. Hii ndio "angle"ya habari, ambayo inaweza ikabreak (as breaking news) ikatoa day 2 story na ikatengenezewa developing story hata kwa mwezi mzima.
Kabla ya Laizer kuushangaza ulimwengu kwa kuchimbua ardhi na kupata madini haya makubwa kabisa, Tanzanite kubwa zaidi duniani ilikua na uzito wa 3.3KGs na 16,839 carat. Hii ilichimbwa na kampuni ya TanzaniteOne mwaka 2005.
Kwa mujibu wa mtandao wa www.mining.com Tanzanite hiyo yenye uzito wa 3.3KGs ipo Thailand katika mji wa Bangkok. Wathai wameamua kuifanya fursa ya utalii. Wanatangazia dunia kwamba "karibu Thailand uone Tanzanite kubwa zaidi". Na watu wanasafiri kila pembe ya dunia kwenda kuona hicho kinachoitwa Tanzanite kubwa zaidi na kupiga nayo picha. Utalii wa aina yake.
Kwa kufanya hivyo Thailand iliweza kurudisha fedha ilizotumia kununua Tanzanite hiyo ndani ya miaka minne tu. Na kuanzia 2010 wanapata faida (super normal profit). Mradi huo umeiingizia Thailand pesa nyingi sana na kutoa ajira kwa watu wengi.
Sasa ni wakati wa kibao kugeuka. Na sisi tutengeneze kituo tuweke haya mawe ya Laizer na tuiambie dunia kuwa Tanzanite kubwa zaidi ipo Tanzania na si Thailand tena. Watu waje washangae hayo mawe wapige nayo picha watulipe 'dollars" wakamalizie picknick Serengeti. Wakitaka kumuona na mchimbaji ruksa.
Hii itatulipa zaidi kuliko kuyauza haya mawe kama tulivyofanya 2005. Pia itafungua fursa mpya ya utalii wa madini ambayo hatujawahi kuwa nayo. Tuige kwa Wathai lakini tufanye kwa ubora kuliko wao (ujasusi wa kiuchumi).
_
Kama watu waliweza kusafiri kutoka Marekani, China, UK etc kwenda kushangaa Tanzanite ya 3KGs kule Bangkok, sisi tukisema tunayo ya 9KGs hata shetani si anaweza kuja kushangaa kidogo akapate cha kusimulia kuzimu?
Bado ana njaa atanunulika.Anafaa kuwa mwenyekiti wa CDM