wewe ni mbinafsi hilo jiwe mwenyewe
karizika na hiyo bei aliyo pewa biashara ni cheni mnunuzi ni serikali ambayo ni mimi na wewe hayo mamilioni ya faida unayoyafikiria kapigwa huyo mchimba wanafaidika watz ambao watapata huduma za jamii kutokana na hizo pesa hapo kabla tanzanite kama hiyo ingetoroshwa na nchi haingefaidika na chochote lakini leo serikali imefanya juhudi za kiidhibiti na inaoneka na itafaidisha watz wewe unapiga kelele pengine hata kazi hutaki kufanya upo tu kulaumu tu
Sent using
Jamii Forums mobile app