Tanzanite iliyonunuliwa na Serikali yavunja rekodi kwa ukubwa duniani | Inaweza kutumika kukuza Sekta ya Utalii

Tanzanite iliyonunuliwa na Serikali yavunja rekodi kwa ukubwa duniani | Inaweza kutumika kukuza Sekta ya Utalii

Alhamisi niliona BBC wakisema mchimbaji aibuka Milionea overnight sasa sijajua tule masai kwa mshiko aliopata ni Milionea au bilionea
 
Acha ujinga wewe KURIZIKA ndiyo mdudu gani!? Kama alicholipwa hakifiki hata robo ya kile alichostahili kuna ubaya gani kuweka hadharani ili kuwafungua macho wengine watakaobahatika kama yeye ili wahakikishe wanalipwa kile wanachostahili badala ya KUDHULUMIWA? 😳😳😳

Hata maana ya ubinafsi hujui. Ficha ujinga wako.

wewe ni mbinafsi hilo jiwe mwenyewe karizika na hiyo bei aliyo pewa biashara ni cheni mnunuzi ni serikali ambayo ni mimi na wewe hayo mamilioni ya faida unayoyafikiria kapigwa huyo mchimba wanafaidika watz ambao watapata huduma za jamii kutokana na hizo pesa hapo kabla tanzanite kama hiyo ingetoroshwa na nchi haingefaidika na chochote lakini leo serikali imefanya juhudi za kiidhibiti na inaoneka na itafaidisha watz wewe unapiga kelele pengine hata kazi hutaki kufanya upo tu kulaumu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom