EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Alhamisi niliona BBC wakisema mchimbaji aibuka Milionea overnight sasa sijajua tule masai kwa mshiko aliopata ni Milionea au bilionea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe ni mbinafsi hilo jiwe mwenyewe karizika na hiyo bei aliyo pewa biashara ni cheni mnunuzi ni serikali ambayo ni mimi na wewe hayo mamilioni ya faida unayoyafikiria kapigwa huyo mchimba wanafaidika watz ambao watapata huduma za jamii kutokana na hizo pesa hapo kabla tanzanite kama hiyo ingetoroshwa na nchi haingefaidika na chochote lakini leo serikali imefanya juhudi za kiidhibiti na inaoneka na itafaidisha watz wewe unapiga kelele pengine hata kazi hutaki kufanya upo tu kulaumu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Zaidi ya mgunduzi wa TanzaniteHuyu mchimbaji ana mengi ya kufanyiwa na serikali kama kweli itajali tukio hili kubwa duniani.
Bloomberg wameitangazaThe Sheriff,
nasubili CNN, BBC, VOA, DW, Al Jazeera kutangaza hii habari kwa fujo huko nje kama za corona na za kina Lissu.