FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Katika kuchagiza utalii, mnaonaje yakapewa majina hayo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenifanya nikumbuke wakulima wa korosho.
Apo hata akipewa ataombwa bilion 1 kufadhili CCM . Mda si mrefu ataibukia ikulu ili wakamdende vizuri.
Yaani wananzengo mna mshawasha na hayo majiwe duh!
Wazo lako ni zuri sana ila unadhani kwa njaa ya hela iliyopo kwa serekali sasa hivi wataweza kukaa na Bilioni 8 zipo tu kwenye kioo watalii wanazitazama? Hiyo miradi na mabombadia yaliyoagizwa we huyaoni?
You need to aknowledge Malisa's source.
Pia Si kweli, hili jiwe halipo Thailand.