Sababu na yeye no jiwe sawa tu [emoji23][emoji23]Watanzania kwa mapendekezo tu hawajambo, wengine watakuja kusema yapewe jina la mheshimiwa sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu na yeye no jiwe sawa tu [emoji23][emoji23]Watanzania kwa mapendekezo tu hawajambo, wengine watakuja kusema yapewe jina la mheshimiwa sana!
Hutaiona kwa kuwa hawatakii mema Serikali ya JPMThe Sheriff,
nasubili cnn, bbc, voa,dw,al-jazeera kutangaza hii habari kwa fujo huko nje km za corona na za kina lissu..
Kabisa, wakiuza wao hawakosi billion 50Serikali hii IMEMDHULUMU huyo jamaa mabilioni mengi sana. 15kg ni sawa na 75,000 carats (1 carat is equal to .0002kg)
Na bei ya carat moja kutokana na daraja la Tanzanite ndiyo hiyo hapo chini.
Tukichukia hata bei ya chini kabisa ya $300 kwa carat moja. Kwa 75,000*$300 angepata $22,500,000 times conversion rate ya 2,300 angestahili kupata 51.7 billions.
For richly colored AAA Tanzanite, 1ct is approximately worth $300-$425 per carat. 2ct sizes reach $450-$650 per carat. 3 carats and up will reach $650-$750 per carat. The changes taking place in Tanzania makes tanzanite a very good investment stone.
Ndio jina boraNaachoomba ayo mawe yasipewe majina ya " hapa kazi tu"
Serikali hii IMEMDHULUMU huyo jamaa mabilioni mengi sana. 15kg ni sawa na 75,000 carats (1 carat is equal to .0002kg)
Na bei ya carat moja kutokana na daraja la Tanzanite ndiyo hiyo hapo chini.
Tukichukia hata bei ya chini kabisa ya $300 kwa carat moja. Kwa 75,000*$300 angepata $22,500,000 times conversion rate ya 2,300 angestahili kupata shilingi 51.7 billions.
For richly colored AAA Tanzanite, 1ct is approximately worth $300-$425 per carat. 2ct sizes reach $450-$650 per carat. 3 carats and up will reach $650-$750 per carat. The changes taking place in Tanzania makes tanzanite a very good investment stone.
Mmasai kapigwa, hii ndio serekali ya wanyonge ati
Unadhani uvccm au CCM hakuna wenye akili timamu?Huwezi mkuta m- uvccm akili hizi
Serikali hii IMEMDHULUMU huyo jamaa mabilioni mengi sana. 15kg ni sawa na 75,000 carats (1 carat is equal to .0002kg)
Na bei ya carat moja kutokana na daraja la Tanzanite ndiyo hiyo hapo chini.
Tukichukia hata bei ya chini kabisa ya $300 kwa carat moja. Kwa 75,000*$300 angepata $22,500,000 times conversion rate ya 2,300 angestahili kupata shilingi 51.7 billions.
For richly colored AAA Tanzanite, 1ct is approximately worth $300-$425 per carat. 2ct sizes reach $450-$650 per carat. 3 carats and up will reach $650-$750 per carat. The changes taking place in Tanzania makes tanzanite a very good investment stone.
Kweli... Hilo bonge la jiwe aiseHuyu mchimbaji ana mengi ya kufanyiwa na serikali kama kweli itajali tukio hili kubwa duniani
Hapana. Bei hiyo ni kwa a finished cut and polished stone.
Serikali imenunua rough stone ambayo bado haijakatwa wala kuwa polished. Lakini maswali ni mengi.
1. Nani Mnunuzi?
Tunaambiwa mnunuzi ni Serikali kupitia Wizara ya Madini na Benki Kuu ya Tanzania. Wizara ya Madini haijawahi kuwa mnunuzi wala muuzaji wa madini. Leo wamebeba jukumu hilo...
Ni MalisaHivi mmiliki halali wa hii article ni nani? Maana kuna mwanajf nae kaeleza hivihivi kama vile ni yake ila jamaa fulani akamwambia ameikopi fb kutoka kwa xxx sijui.We nae unasema ni ya Malisa.
Hoja nzuri sana ila mmiliki halisi wa makala sijamjua bado na ningependa nimjue.
Hao wanawaza chadema tuUnadhani uvccm au ccm hakuna wenye akili timamu ?
Sio kweli.Hao wanawaza chadema tu