Tanzanite iliyonunuliwa na Serikali yavunja rekodi kwa ukubwa duniani | Inaweza kutumika kukuza Sekta ya Utalii

Tanzanite iliyonunuliwa na Serikali yavunja rekodi kwa ukubwa duniani | Inaweza kutumika kukuza Sekta ya Utalii

Mkuu hata kwa rough/unpolish Tanzanite bado kapigwa sana tu.

Buy Tanzanite Rough Online | Gem Rock Auctions

Ubora haupo kwenye uzito tu bali rangi na muundo wa jiwe na ukataji unachangia kwa kiasi kikubwa. Hivyo kupiga hesabu kwa kilo ni kukosea.

Waliopigwa ni Watanzania.

Jiwe hilo lingekua na thamani ya bilioni 10 tu, dealers wangenunua siku nyingi.
 
Naam nimeweka hapo juu kwamba kuna madaraja tofauti ya Tanzanite na bei ya daraja la chini sana ni $300 per carat na ya juu ni $750 per carat.

Ubora haupo kwenye uzito tu bali rangi na muundo wa jiwe na ukataji unachangia kwa kiasi kikubwa. Hivyo kupiga hesabu kwa kilo ni kukosea.

Waliopigwa ni Watanzania.

Jiwe hilo lingekua na thamani ya bilioni 10 tu, dealers wangenunua siku nyingi.
 
Hapana. Bei hiyo ni kwa a finished cut and polished stone.

Serikali imenunua rough stone ambayo bado haijakatwa wala kuwa polished. Lakini maswali ni mengi.

1. Nani Mnunuzi?
Tunaambiwa mnunuzi ni Serikali kupitia Wizara ya Madini na Benki Kuu ya Tanzania. Wizara ya Madini haijawahi kuwa mnunuzi wala muuzaji wa madini. Leo wamebeba jukumu hilo...
Aisee mkuu heshima yako. Nondo zineshiba ile kinoma
 
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji144][emoji144][emoji144]
Mshana haya mambo Yana mambo mengi. Kuna kipindi rudi nyuma Miaka zaidi ya 10 Kuna jamaa yangu mmoja anaitwa ayubu yuko singida
Sehemu za mituna, anajishugulisha na Uchimbaji wa zrcon jamaa alipata almasi yenye ukubwa wa grm 28.

Hii syo stori mm shahidi nlipoondoka singida tu nkarudi dar nkapotea kwenda mafia jamaa alipolipata alinitafuta sana maana nlikuwa kama broker wake ila hakunipata maana nliporudi Nkaenda kijichimbia mafia, nilijingiza kwenye uvuvi Wa jongooo unajua tena utafutaji.

Sasa ayubu aliponikosa akapata mhaya mmoja anaitwa m--- akamuonesha jiwe lile wakalipima likasoma diamond hadi hardness, muta alichkua jiwe lile akaliuza kwa msrilanka mmja alikuwepo anaitwa premas mln 120 ayubu alihaidiwa angepewa mln 20 akakubali lkn mwisho wa siku jamaa kupata mln zile alimpa tu mln 8.

Ila amini usiamini ilikuwa diamond yule msrilanka alienda kuliuza ufaransa alipiga Hela. Ila yule mhaya miezi 6 Hela alimaliza, Ila point yangu ni almasi ilitoka Singida. Ayubu mpaka Leo yupo anaishi yule mhaya anapigika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Ila Ile ilikuwa zali langu mambo mengi tu.

Tanzania tuna utajiri sana

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Katika vijana makini wachambuzi na wenye uelewa mkubwa ,basi Malisa GJ ni namba 1.

Nimesoma hii artcle yake juu ya Tanzanite, hadi nimetamani vijana kama hawa wawe msaada kwenye kuweka mikakati ya Taifa hili.

Ivi huyu Kijana ni mbongo kweli?

Kwa kweli sijawahi mwona ila inaonekana ni bonge la genius...
Umejidharau na kuwadharau wabongo, kwanini mtu kuwa na akili unahoji Kama ni mbongo? Kwani wabongo ni vilaza?
 
Katika vijana makini wachambuzi na wenye uelewa mkubwa ,basi Malisa GJ ni namba 1.

Nimesoma hii artcle yake juu ya Tanzanite, hadi nimetamani vijana kama hawa wawe msaada kwenye kuweka mikakati ya Taifa hili.

Ivi huyu Kijana ni mbongo kweli?

Kwa kweli sijawahi mwona ila inaonekana ni bonge la genius...
Hapo mayumbu wa ufipa wanamuona mjanja kisa kuzungumzia kuweka Tanzanite makumbusho, upuuzi sana

Huyu naye eti ana akili duh. Hapo la maana lipi?
 
Ukiongelea mji wa Bangkok unatakiwa ufahamu kuwa ni kati ya miji inayoongoza kwa utalii duniani, stahere zote za kidunia zipo huko, ufuska wote unao ujuwa wewe basi huko upo,

Kuna wazungu wanaamua kukaa huko miaka miwili hadi mitatu na wengine maisha yao yote ili kustarehe tu huko Bangkok hadi siku watakayokufa bila kurudi kwao,

Turudi kwenye mada kuu "kufanya maonesho ya Tanzanite kubwa duniani hapahapa Tz"

i/ Je tutarudisha pesa yetu? Ndio,
ii/ Itachukuwa muda gani? Mrefu sana
iii/ It's economic profitable? Hapana kabsa
iv/ It's worth it? Ndio (For National prestige only)

Jamani Bangkok ni mji mwingine hao jamaa wame sacrifice hadi utu wao kwa ajili ya utalii wa huo mji sisi tuweke maonesho yetu tu hapa kwa ajili ya uzalendo na madini yetu vizazi wajue na sio kuwazidi wao matarajio hayo tutafeli tu,

Everything comes with a price hii boom ya tourism in Thailand wala msiitamani iacheni sisi tutumie long pass tu shortcut mbaya
 
Ni hivyo tu wandungu na sina la zaidi kwa sasa zaidi ya vijimaneno vyangu hivi vya siku zote hapa JF kwa lugha ya kuungaunga:

Sometimes in life,it worth to be curios when others are satisfied, and to be dissatisfied when others are curious.

"25/10/2020".

Ni mimi muumini wa muda.
 
Napingana na malisa kuwa Tanzanite hii kuwa ipo musium ya thailand. Sio kweli.
 
Ukiongelea mji wa Bangkok unatakiwa ufahamu kuwa ni kati ya miji inayoongoza kwa utalii duniani, stahere zote za kidunia zipo huko, ufuska wote unao ujuwa wewe basi huko upo,

Kuna wazungu wanaamua kukaa huko miaka miwili hadi mitatu na wengine maisha yao yote ili kustarehe tu huko Bangkok hadi siku watakayokufa bila kurudi kwao,

Turudi kwenye mada kuu "kufanya maonesho ya Tanzanite kubwa duniani hapahapa Tz"...
Wavunja moyo kama nyie nilijua tu mtajitokeza[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
 
Kwa sababu ya kutojua na hata kama hatalalamika HAIBADILISHI ukweli kwamba Serikali IMEMDHULUMU mabilioni yake mengi sana.
Hii habari mimi bado naitazama kwa jicho la tahadhari sana.
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Serikali hii IMEMDHULUMU huyo jamaa mabilioni mengi sana. 15kg ni sawa na 75,000 carats (1 carat is equal to .0002kg)
Na bei ya carat moja kutokana na daraja la Tanzanite ndiyo hiyo hapo chini.

Tukichukia hata bei ya chini kabisa ya $300 kwa carat moja. Kwa 75,000*$300 angepata $22,500,000 times conversion rate ya 2,300 angestahili kupata shilingi 51.7 billions.

For richly colored AAA Tanzanite, 1ct is approximately worth $300-$425 per carat. 2ct sizes reach $450-$650 per carat. 3 carats and up will reach $650-$750 per carat. The changes taking place in Tanzania makes tanzanite a very good investment stone.
Iyo Tanzanite leo ikiwekwa kwenye mnada wa kidunia inaweza kununuliwa hata kwa 1trillion. Kitu kama icho kwanza thamani yake sio kwa carats. Ukubwa wake na jisi ilivyovunja record.

Refer to ile diamond kubwa iliyopatikana SA.
 
Nimeona hizo picha za hilo jiwe lakini najiuliza hilo Jiwe ni kweli lipo na ni halisi?
 
Back
Top Bottom