ROGATH MCHAU
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 569
- 1,009
ACHA UJINGA WEWE HAAA!!!!Kina mo wamepitwa aisee
MO ANAMILIKI TRILION 3 UJE UKAMFANANISHE NA MMILIKI WA BILIONI 7?
AU HUJUI TOFAUTI YA MIL, BIL, NA TRIL?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ACHA UJINGA WEWE HAAA!!!!Kina mo wamepitwa aisee
Ukinunua bond za miaka 20?Bilion 7.4 akiweka deposit bank tyfanye akipewa 10% ni milion 740.
ukigawa kwa mwezi ni milion 60
ukigawa kwa siku 30 ni = na milion 2 kwa kila siku
Tufanye unatumia milion 1 tu kwa siku na unatunza milion 1 kila siku.
Mtaji wako wa Bilion 7.4 uko palepale
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejuaje kuwa aliendesha mgodi kwa miaka 17 bila kupata chochote?Halafu aliwekeza miaka 17, kila siku alikuwa akiuendesha mgodi kwa laki 6, pia tokea aanze kuchimba hakuwahi kuambulia chochote!
Sasa ikiwa alikuwa anauendesha huo mgodi kwa wastani wa laki 6 kwa siku kwa huo muda wa miaka 16, ina maana ni kama alishatumia wastani wa zaidi ya Billion 3 kwa muda huo wote!...
Hii habari mimi bado naitazama kwa jicho la tahadhari sana.
Nimekusoma Mkuu, ila usisahau pia uchaguzi unahitaji fedha hivyo jambo hili tufikrie kwa mapana na marefu.Hahahahahaha lol! ila tumeshathibitisha kitu kimoja kama ni ya kweli basi jamaa KADHULUMIWA mabilioni. Mie naomba kama kuna mtu humu anamfahamu huyo jamaa AMSTUE ili ALIPWE pesa anayostahili. Tusishangae hiyo TANZANITE ikapotea kinyemela na hakuna aliyejua ilivyopotea.
Kapigwa Masai vilaza wanashadadiaHalafu aliwekeza miaka 17, kila siku alikuwa akiuendesha mgodi kwa laki 6, pia tokea aanze kuchimba hakuwahi kuambulia chochote!
Sasa ikiwa alikuwa anauendesha huo mgodi kwa wastani wa laki 6 kwa siku kwa huo muda wa miaka 16, ina maana ni kama alishatumia wastani wa zaidi ya Billion 3 kwa muda huo wote!
Kwake yeye anaona ni faida tu, isitoshe hadi rais anampigia simu halafu anambwa namna ile, sidhani kama aliwahi kuwaza atakuja kukutana na gavana wa B.O.T! So ukimweleza kapigwa anaona kama unamzingua tu, hizo alizopata zinamtosha!
~ January makamba Jamaa ana akili nyingi sana ndani ya zzm!Umechemka!
Siku Lissu akiamia CHUKUA CHAKO MAPEMA ndipo utakili CCM kuna watu wana akili.
Mkuu kama mtoa post alivyoshauri,basi tutaangalia wathai nao jinsi walivyolihifadhi na sisi tutaangalia tuweke vipi kwa mazingira yetu kuzingatia hao "paka" wanaoweza kula jiwe.Ilo jiwe litawekwa wapi ili watalii wawe wanaliona? Maana Tanzania kuna wanyama wakorofi sana.kama mamba waliweza kula injini ya roli mto wami haishindikani paka kula ilo jiwe.
Hela inatakiwa ifanye kazi,hayo mabank nayo hali zake sio nzuriBilion 7.4 akiweka deposit bank tyfanye akipewa 10% ni milion 740.
ukigawa kwa mwezi ni milion 60
ukigawa kwa siku 30 ni = na milion 2 kwa kila siku
Tufanye unatumia milion 1 tu kwa siku na unatunza milion 1 kila siku.
Mtaji wako wa Bilion 7.4 uko palepale
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wewe c mwanaccm? Ccm ndio mamba wenyewe na mfuga mamba pia chama chako unakisema?Ilo jiwe litawekwa wapi ili watalii wawe wanaliona? Maana Tanzania kuna wanyama wakorofi sana.kama mamba waliweza kula injini ya roli mto wami haishindikani paka kula ilo jiwe.
Baada ya kodi atakuwa na kiasi gani?Bilion 7.4 akiweka deposit bank tyfanye akipewa 10% ni milion 740.
ukigawa kwa mwezi ni milion 60
ukigawa kwa siku 30 ni = na milion 2 kwa kila siku
Tufanye unatumia milion 1 tu kwa siku na unatunza milion 1 kila siku.
Mtaji wako wa Bilion 7.4 uko palepale
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh hatariIlo jiwe litawekwa wapi ili watalii wawe wanaliona? Maana Tanzania kuna wanyama wakorofi sana.kama mamba waliweza kula injini ya roli mto wami haishindikani paka kula ilo jiwe.
wewe ni mbinafsi hilo jiwe mwenyewe karizika na hiyo bei aliyo pewa biashara ni cheni mnunuzi ni serikali ambayo ni mimi na wewe hayo mamilioni ya faida unayoyafikiria kapigwa huyo mchimba wanafaidika watz ambao watapata huduma za jamii kutokana na hizo pesa hapo kabla tanzanite kama hiyo ingetoroshwa na nchi haingefaidika na chochote lakini leo serikali imefanya juhudi za kiidhibiti na inaoneka na itafaidisha watz wewe unapiga kelele pengine hata kazi hutaki kufanya upo tu kulaumu tuKwa sababu ya kutojua na hata kama hatalalamika HAIBADILISHI ukweli kwamba Serikali IMEMDHULUMU mabilioni yake mengi sana.