Tanzanite iliyonunuliwa na Serikali yavunja rekodi kwa ukubwa duniani | Inaweza kutumika kukuza Sekta ya Utalii

Tanzanite iliyonunuliwa na Serikali yavunja rekodi kwa ukubwa duniani | Inaweza kutumika kukuza Sekta ya Utalii

Bilion 7.4 akiweka deposit bank tyfanye akipewa 10% ni milion 740.
ukigawa kwa mwezi ni milion 60
ukigawa kwa siku 30 ni = na milion 2 kwa kila siku
Tufanye unatumia milion 1 tu kwa siku na unatunza milion 1 kila siku.
Mtaji wako wa Bilion 7.4 uko palepale

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukinunua bond za miaka 20?
 
Halafu aliwekeza miaka 17, kila siku alikuwa akiuendesha mgodi kwa laki 6, pia tokea aanze kuchimba hakuwahi kuambulia chochote!

Sasa ikiwa alikuwa anauendesha huo mgodi kwa wastani wa laki 6 kwa siku kwa huo muda wa miaka 16, ina maana ni kama alishatumia wastani wa zaidi ya Billion 3 kwa muda huo wote!...
Umejuaje kuwa aliendesha mgodi kwa miaka 17 bila kupata chochote?
 
Hahahahahaha lol! ila tumeshathibitisha kitu kimoja kama ni ya kweli basi jamaa KADHULUMIWA mabilioni. Mie naomba kama kuna mtu humu anamfahamu huyo jamaa AMSTUE ili ALIPWE pesa anayostahili. Tusishangae hiyo TANZANITE ikapotea kinyemela na hakuna atakayejua ilivyopotea.

Hii habari mimi bado naitazama kwa jicho la tahadhari sana.
 
Hahahahahaha lol! ila tumeshathibitisha kitu kimoja kama ni ya kweli basi jamaa KADHULUMIWA mabilioni. Mie naomba kama kuna mtu humu anamfahamu huyo jamaa AMSTUE ili ALIPWE pesa anayostahili. Tusishangae hiyo TANZANITE ikapotea kinyemela na hakuna aliyejua ilivyopotea.
Nimekusoma Mkuu, ila usisahau pia uchaguzi unahitaji fedha hivyo jambo hili tufikrie kwa mapana na marefu.
 
Wauze mara moja hiyo Tanzanite hizo pesa zifanye maendeleo, wakiifanyia utalii watakuta imeshaliwa na sisimizi kama ile injini ya mto wami iliyotafunwa na mamba, wabongo hawaaminiki..
 
The Sheriff,

Magufuli amesikia wazo lako amelifanyia kazi sasa tutaliona katika makumbusho ya Taifa. Nadhani serikali ipange mkakati mzuri wa kulitunza, kulihifadhi na kulitangaza lakini kama waziri wa utalii atabaki kuwa Kigwangala itachukua miaka mia 5 kurudisha hiyo hela.
 
Halafu aliwekeza miaka 17, kila siku alikuwa akiuendesha mgodi kwa laki 6, pia tokea aanze kuchimba hakuwahi kuambulia chochote!
Sasa ikiwa alikuwa anauendesha huo mgodi kwa wastani wa laki 6 kwa siku kwa huo muda wa miaka 16, ina maana ni kama alishatumia wastani wa zaidi ya Billion 3 kwa muda huo wote!

Kwake yeye anaona ni faida tu, isitoshe hadi rais anampigia simu halafu anambwa namna ile, sidhani kama aliwahi kuwaza atakuja kukutana na gavana wa B.O.T! So ukimweleza kapigwa anaona kama unamzingua tu, hizo alizopata zinamtosha!
Kapigwa Masai vilaza wanashadadia
 
Ilo jiwe litawekwa wapi ili watalii wawe wanaliona? Maana Tanzania kuna wanyama wakorofi sana.kama mamba waliweza kula injini ya roli mto wami haishindikani paka kula ilo jiwe.
Mkuu kama mtoa post alivyoshauri,basi tutaangalia wathai nao jinsi walivyolihifadhi na sisi tutaangalia tuweke vipi kwa mazingira yetu kuzingatia hao "paka" wanaoweza kula jiwe.
 
Wanasiasa naona wameingia kujitafutia umaarufu kila kitu wao wanajua,maada ishageuka uwanja wa siasa.
 
Yakifanywa utalii ipo siku si leo wala kesho ila ipo siku. Wahuni watafanya change quater watatuachia vyupa.
 
Bilion 7.4 akiweka deposit bank tyfanye akipewa 10% ni milion 740.
ukigawa kwa mwezi ni milion 60
ukigawa kwa siku 30 ni = na milion 2 kwa kila siku
Tufanye unatumia milion 1 tu kwa siku na unatunza milion 1 kila siku.
Mtaji wako wa Bilion 7.4 uko palepale

Sent using Jamii Forums mobile app
Hela inatakiwa ifanye kazi,hayo mabank nayo hali zake sio nzuri
 
The Sheriff,

Mkuu natamani ungekuwa Mshauri wa Rais, hili lifanyike. Kama kwa kuingalia tu, inaweza kurudisha fedha zote zilizotumika kununulia, hakuna haja ya kuiuza.

Iwekwe tu, katika Hali ya kiutalii, tuvune.
 
Ilo jiwe litawekwa wapi ili watalii wawe wanaliona? Maana Tanzania kuna wanyama wakorofi sana.kama mamba waliweza kula injini ya roli mto wami haishindikani paka kula ilo jiwe.
Mkuu wewe c mwanaccm? Ccm ndio mamba wenyewe na mfuga mamba pia chama chako unakisema?
 
Bilion 7.4 akiweka deposit bank tyfanye akipewa 10% ni milion 740.
ukigawa kwa mwezi ni milion 60
ukigawa kwa siku 30 ni = na milion 2 kwa kila siku
Tufanye unatumia milion 1 tu kwa siku na unatunza milion 1 kila siku.
Mtaji wako wa Bilion 7.4 uko palepale

Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kodi atakuwa na kiasi gani?
 
Ilo jiwe litawekwa wapi ili watalii wawe wanaliona? Maana Tanzania kuna wanyama wakorofi sana.kama mamba waliweza kula injini ya roli mto wami haishindikani paka kula ilo jiwe.
Duuuh hatari
[emoji23][emoji23]
 
Kwa sababu ya kutojua na hata kama hatalalamika HAIBADILISHI ukweli kwamba Serikali IMEMDHULUMU mabilioni yake mengi sana.
wewe ni mbinafsi hilo jiwe mwenyewe karizika na hiyo bei aliyo pewa biashara ni cheni mnunuzi ni serikali ambayo ni mimi na wewe hayo mamilioni ya faida unayoyafikiria kapigwa huyo mchimba wanafaidika watz ambao watapata huduma za jamii kutokana na hizo pesa hapo kabla tanzanite kama hiyo ingetoroshwa na nchi haingefaidika na chochote lakini leo serikali imefanya juhudi za kiidhibiti na inaoneka na itafaidisha watz wewe unapiga kelele pengine hata kazi hutaki kufanya upo tu kulaumu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom