Tetesi: Tanzanite yetu ndo inampa Jeuri Kagame kuifadhili Arsenal? Wazungu nao wamemjia juu Kagame

ukiacha bra bra kumbe Tanzania tunakua kwa kasi kwe tourism kweli numbers dont lie Magu akawekeze kwe manchester bana tupate wageni wengi toka mashariki mwa mbali

Onyesha mkuu hizo number zaidi ya figa ambazo zimakuw akutokana na VAT mpyaa
 
Ukileta ushahidi humu mkuu kesho unaanzishiwa msako na wasiojulikana...usiombe kagame ukagusa maslahi yake popote ulipo duniani lazima ziraili akupate akunyofoe kiroho chako Cha ngama....
Imagination hizo. Kwa hiyo aliyeleta uzi huu pia anasakwa? Hacheni propaganda za kizamani
 
Lisemwalo lipo, kunakitu hakiko sawa kwenye uhusiano wetu na Rwanda. Ni matumaini yangu vyombo vya usalama (MI, TISS) hawataacha jiwe lolote juu ya jiwe lingine.

How?Why?by whom?...totally impossible
 
Ukileta ushahidi humu mkuu kesho unaanzishiwa msako na wasiojulikana...usiombe kagame ukagusa maslahi yake popote ulipo duniani lazima ziraili akupate akunyofoe kiroho chako Cha ngama....
Sijui kwa nini mnapenda umbea alafu mkiombwa ushahidi mnakuja na hadithi za alinacha
 
hearly rafiki naona kagame kashikwa pabaya asee.. nahuku tena



cc Smart911
ila hiyo issue ya kumjia juu..nikweli wamemjia juu mnooo""...maana wamemshangaa wao wanatoa misaada wakiamini kuwa Rwanda nitaifa masikini " huku Mr slim katoa pesa kwaajili " ya kuidhamini arsenal ""........wanachohoji haswaa wanasema kama suala lilikuwa nikujitangaza kiutalii" basi angeweza hata kulipia airtime CNN"..nakuitangaza nchi yake kupitia hiyo sekta
 

Kwahiyo Mr slim anaiibia serikali yake sio??? watu kwa logic ni balaa haiwezekani masikini awe na pesa za kugawa tehteh...


cc Smart911
 
Kwahiyo Mr slim anaiibia serikali yake sio??? watu kwa logic ni balaa haiwezekani masikini awe na pesa za kugawa tehteh...


cc Smart911
haha hahha ....umeona sasa " anachokifanya nikutaka kuyaaminisha mataifa" kuwa Rwanda ipo shwari ""....na ule wimbo wa udikteta ambao unaimbwa dhidi yake hauna ukweli "....
 
Naona walipa kodi wa Uingereza wamemkomalia kweli kweli huyo wanaemuita "a ruthless dictator" ambaye anajifanya nambari one fan wa Arsenal[emoji23][emoji23]
 
ktk hili la Rwanda kudhibiti biashara ya nadini ya tanzanite halina mashiko,ila napinga ujinga wa kagame kujikomba kwa wazungu wakati wa rwanda vijijini hawana maji chakula wanaishi maisha ya shida mno ,hivyo huwezi kusema slim anawananga wazungu wakat bado anajikomba kwao na visenti ambavyo angewasaidia raia wake .
 
Hata kama jiwe ni mjinga ila sio mpumbavu kiasi hicho eti aache Rwanda i control mererani.
Hii ni news ambayo siwez ikubali maana mapato ambayo angeyapata angeihudumia Rwanda yake yenye poor social welfare kabbisa.
Na jamaa fala wa kupindukia.
Unadhamini Team euro millions 30 ilhali nchi yako bado ina poor social welfare.
Hivi hizo hela angezitumia kuunda miundombinu mingapi au aleast kuongeza vituo vya afya vingapi?!
Kuhusu magu kumuachilia Kimbaumbau mererani nakataa na hakuna Kiongozi fala kama kagame.
Even my pre natal sperm to be turned to pre natal baby then to post natal baby of mine can't do a shit like that of Kagame
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…