Tetesi: Tanzanite yetu ndo inampa Jeuri Kagame kuifadhili Arsenal? Wazungu nao wamemjia juu Kagame

Tetesi: Tanzanite yetu ndo inampa Jeuri Kagame kuifadhili Arsenal? Wazungu nao wamemjia juu Kagame

ukiacha bra bra kumbe Tanzania tunakua kwa kasi kwe tourism kweli numbers dont lie Magu akawekeze kwe manchester bana tupate wageni wengi toka mashariki mwa mbali

Onyesha mkuu hizo number zaidi ya figa ambazo zimakuw akutokana na VAT mpyaa
 
Ukileta ushahidi humu mkuu kesho unaanzishiwa msako na wasiojulikana...usiombe kagame ukagusa maslahi yake popote ulipo duniani lazima ziraili akupate akunyofoe kiroho chako Cha ngama....
Imagination hizo. Kwa hiyo aliyeleta uzi huu pia anasakwa? Hacheni propaganda za kizamani
 
Lisemwalo lipo, kunakitu hakiko sawa kwenye uhusiano wetu na Rwanda. Ni matumaini yangu vyombo vya usalama (MI, TISS) hawataacha jiwe lolote juu ya jiwe lingine.

How?Why?by whom?...totally impossible
 
Ukileta ushahidi humu mkuu kesho unaanzishiwa msako na wasiojulikana...usiombe kagame ukagusa maslahi yake popote ulipo duniani lazima ziraili akupate akunyofoe kiroho chako Cha ngama....
Sijui kwa nini mnapenda umbea alafu mkiombwa ushahidi mnakuja na hadithi za alinacha
 
hearly rafiki naona kagame kashikwa pabaya asee.. nahuku tena



cc Smart911
ila hiyo issue ya kumjia juu..nikweli wamemjia juu mnooo""...maana wamemshangaa wao wanatoa misaada wakiamini kuwa Rwanda nitaifa masikini " huku Mr slim katoa pesa kwaajili " ya kuidhamini arsenal ""........wanachohoji haswaa wanasema kama suala lilikuwa nikujitangaza kiutalii" basi angeweza hata kulipia airtime CNN"..nakuitangaza nchi yake kupitia hiyo sekta
 
ila hiyo issue ya kumjia juu..nikweli wamemjia juu mnooo""...maana wamemshangaa wao wanatoa misaada wakiamini kuwa Rwanda nitaifa masikini " huku Mr slim katoa pesa kwaajili " ya kuidhamini arsenal ""........wanachohoji haswaa wanasema kama suala lilikuwa nikujitangaza kiutalii" basi angeweza hata kulipia airtime CNN"..nakuitangaza nchi yake kupitia hiyo sekta

Kwahiyo Mr slim anaiibia serikali yake sio??? watu kwa logic ni balaa haiwezekani masikini awe na pesa za kugawa tehteh...


cc Smart911
 
Kwahiyo Mr slim anaiibia serikali yake sio??? watu kwa logic ni balaa haiwezekani masikini awe na pesa za kugawa tehteh...


cc Smart911
haha hahha ....umeona sasa " anachokifanya nikutaka kuyaaminisha mataifa" kuwa Rwanda ipo shwari ""....na ule wimbo wa udikteta ambao unaimbwa dhidi yake hauna ukweli "....
 
Naona walipa kodi wa Uingereza wamemkomalia kweli kweli huyo wanaemuita "a ruthless dictator" ambaye anajifanya nambari one fan wa Arsenal[emoji23][emoji23]
 
Leo hii ukiwa unajiita kabisa Great Thinker wa JF halafu ukawa unawashangaa na unaungana na Wazungu wachache katika Kumsema vibaya Rais Kagame na Kupinga maamuzi yake ya Kuidhamini nchi yake ya Rwanda kupitia Klabu ya Arsenal nitashindwa kukutofautisha na Wapumbavu wachache fulani fulani.

Hakuna asiyejua kuwa Wazungu hasa Uingereza wana chuki ya chini chini na Rais Kagame hasa baada ya Kagame kila mara akionekana akiwasema / akiwananga Wazungu kwa Kuwanyonya na kuwasababishia umasikini na maumivu ya Kiuchumi Waafrika.

Ni uimara wa Rais Kagame katika kuyasimamia yale anayoyaamini na kutopenda ' manyanyaso ' ya Wazungu ambao walikuwa wakidhani watampanda Kichwani Kagame ili wazidi kuendeleza kile ambacho walikuwa wakikiendeleza pale tulipokuwa ' Makoloni ' yao.

Logically tu ni kwamba nia ya Rais Kagame kuamua Kuidhamini nchi yake kupitia Klabu Kubwa kama ya Arsenal ni jambo jema sana hasa ukizingatia kwamba sasa hivi nchini Rwanda kumezinduliwa Mbuga nyingine mpya za Wanyama Kenda / Tisa tena zenye Wanyama ' vivutio ' kabisa kwa Watalii hivyo basi ujio wa Watalii wengi nchini Rwanda kutasaidia kuiongezea pato nchi ya Rwanda ambayo Hela hiyo sasa itatumika katika kuboresha huduma mbalimbali na muhimu za Kijamii na hata kuzidi Kuijenga Rwanda katika mifumo yake ya Miundombinu.

Mwisho labda kwa taarifa yako tu na kwa Kukusaidia hakuna Kiongozi yoyote wa Afrika ambaye anaonekana ni ' madhubuti ' katika kuwapigania Waafrika na Rasilimali zao akaonekana ni Mtu mwema kwa Wazungu ambao siku zote wanapenda Kutunyonya na Kutukandamiza Waafrika na Waafrika baadhi walivyo Wapumbavu badala ya Kusikitika sasa nao wanageuka kuwa sehemu ya ' Critics ' wachache kwa Viongozi ' mashujaa ' wa Afrika.

Rais Paul Kagame yupo sahihi kwa 100% kwa maamuzi yake dhidi ya Udhamini wa nchi yake kupitia Klabu ya Arsenal.

Kila la kheri.
ktk hili la Rwanda kudhibiti biashara ya nadini ya tanzanite halina mashiko,ila napinga ujinga wa kagame kujikomba kwa wazungu wakati wa rwanda vijijini hawana maji chakula wanaishi maisha ya shida mno ,hivyo huwezi kusema slim anawananga wazungu wakat bado anajikomba kwao na visenti ambavyo angewasaidia raia wake .
 
There is a lot of talk katika mji wa Mirerani kuhusu uchimbaji na biashara ya madini ya Tanzanite sasa kudhibitiwa na Rwanda, na ukikaa kwenye sehemu za starehe utasikia kila kitu, hata usiyopenda kusikia...na mahali fulani nilikaa na mashabiki flan wa Arsenal wanatamba kwamba nchi maskini ya Rwanda wana uwezo wa kuifadhili Arsenal, moja ya klabu za soka Tajiri kabisa duniani, kwa sababu tayari wanadhibiti sehemu kubwa ya biashara ya madini hapa TZ, na hasa TANZANITE, na ndiyo walidemand Mirerani pajengwe Ukuta kuzunguka eneo lote panapofanyika Uchimbaji....HAYA SI MANENO MADOGO!

Wakati huo huo Waingereza pamoja na wanaharakati Wanyarwanda wanaoishi Uhamishoni nao wanamnyoosha Kagame, how come nchi maskini ambayo hupokea msaada wa pauni mil.62, pesa za walipa kodi maskini wa Uingereza, itumie pauni mil.30 kuwafadhili Arsenal, moja ya Klabu Tajiri kabisa duniani? Wanataka Uingereza isitishe msaada wake kwa Rwanda, na Arsenal ijitoe kupokea pesa hizo!
View attachment 788288
Hata kama jiwe ni mjinga ila sio mpumbavu kiasi hicho eti aache Rwanda i control mererani.
Hii ni news ambayo siwez ikubali maana mapato ambayo angeyapata angeihudumia Rwanda yake yenye poor social welfare kabbisa.
Na jamaa fala wa kupindukia.
Unadhamini Team euro millions 30 ilhali nchi yako bado ina poor social welfare.
Hivi hizo hela angezitumia kuunda miundombinu mingapi au aleast kuongeza vituo vya afya vingapi?!
Kuhusu magu kumuachilia Kimbaumbau mererani nakataa na hakuna Kiongozi fala kama kagame.
Even my pre natal sperm to be turned to pre natal baby then to post natal baby of mine can't do a shit like that of Kagame
 
Back
Top Bottom