masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
mchele ulimwaga wa nani?Mh! hebu jazia
Yale yale ya kumwaga mchele mbovu wa mtu na kulipwa fidia kwa vitega uchumi vya serikali na kisha kuwa milionea! Huwa natafuta "self made" millionaire hapa nchini simpati!
na "serikali" na "serikali" akashindwa mahakamani kisha "serikali" ikamlipa fidia kwa mali za "serikali"Nani
mchele ulimwaga wa nani?
Mchele wa nani...naomba linkna "serikali" na "serikali" akashindwa mahakamani kisha "serikali" ikamlipa fidia kwa mali za "serikali"
Una uhakika alikua na kansa?R. I. P kansa sio aisee mtu unajua umebakiza siku kadhaa za kuimaliza dunia. Hata steve jobs nae aliresign uceo Apple akaenda kufa na kansa.sio kila unayemuona ana upara amependa, chemo ni kali humaliza nywele zote
All in all ni maisha.
Ni mawazo tu
Mchele wa nani...naomba link
Mchele wa nani...naomba link
Mkuu unaheshimika hapa jukwaani........Jaribu kujitendea haki kwa kuheshimu watu wengine!Magufuli anawapiga daflao malaika waishi kama mashetani.
Halafu wakifariki anatuma rambirambi nzuuuri.
Muhaya anaweza kuomba azikwe huko huko alikofia, hakutaka kufia Aga khan, unadhani atakubali azikwe Tanzania?!RIP Mufuruki.Je atazikwa wapi,Dar,Geita alipokuwa baba yake aliyetangulia mbele ya haki Hajji Abdul au Maruku,Bukoba Omumasiro?
Ooh hapo sawa nimekuelewa ishu kubwa ni connection.Mkuu ALi ameanza Bizness Long Tym sana,InfoTech ndio ilikuwa inapata kazi za Printing zote za Serikali,ebu fikiria tu Bungeni wameondoa printing kwa sasa wanatumia ipad ambayo kwa mujibu wa bunge wameokoa MABILIONI ya Shiling yaliyokuwa yanapotea kwa printing.....Sasa hiyo ni Bunge tu!! Sasa InfoTech ilikuwa inapata kazi za printing na IT za Serikali imagine alikuwa anaingiza Tsh ngapi?
Wow!mke wake anafanana kabisa mke wangu mm.Kumbe jamaa alioa msomali..
Niwashaurini mabaharia wenzangu tuoe huko nje,hizi specie za kibongo tuwaache waendelee kuwa masingo mazaView attachment 1285347
Hahaha unataka utafute chanjo yake au dawa?!Chanzo Cha kifo chake?
Hivi ile kesi yao na mke wa marehemu iliisha vipi?Nani amekuwa mmiliki wa halali wa Mali za marehemu mzee mengi? sorry kwa kutoka nje ya mada kidogo.Operation haziwezi kua vile vile , zinakuaje vile vile wamefanya (Cost Cutting) hela inaonekana matumizi yasiyo ya lazima wamekata