TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

Poleni sana sana akina UN & USA
rwekiza,rutashovya,mufuruki,bararusesa,barongo,kagasheki,
tibaigana,rwemamu,kagaruki,bishanga,katabaro,kaiza,rugaumuza,malinzi,mujuni,rugemarira,
kashonda,tibaijuka,rwegama,
 
Kinachotofautisha kilimo cha Tanzania na Uholanzi nchi ndogo ambayo ni ya tatu kwa uzalushaji mkubwa wa kilimo duniani ni matumizi ya teknolojia
Ninakubaliana sana na mawazo haya.

Ila sijui kwa nini kajaribu hata kuilinganisha Tanzania na Uholanzi; bila shaka ni tamanio lake la kutaka Tanzania ijifunze huko!

Uholanzi, "nchi ya tatu kwa uzalishaji mkubwa wa kilimo duniani"? Mazao gani?

Kuna nchi hizi zinazozalisha baadhi ya mazao kwa wingi: China, Brazil, USA..., ndio, na hata Ghana na Ivory Coast zimo kwa baadhi ya mazao kama cacao (hata kama sio kwa kutumia teknologia mahsusi). Sijui nafasi ya Israel ni ipi katika orodha yake ya nchi hizo tatu.

Ila ngoja niseme haya: kwa kiwango chake cha elimu, na huu wasifu unaowekwa hapa, na mijishughulisho yake mbali mbali, huyu jamaaa anaweza kuwa alikuwa juu ya kiwango cha kawaida kifikra (sitaki kutumia neno genius).

Halafu mbona kifo hiki ni kama ni cha 'sirisiri' hivi? Ikoje hii!
 
Kalamu1,

Umechangia mawazo mazuri ktk tanzia ya mwendazake RIP Ali Mafuruki maana wengi tunaishia kutoa jumbe fupi za RIP badala ya kuongeza uchambuzi wa historia ya maisha yake na michango ya marehemu ktk jamii yetu.

Itakuwa hatuwatendei haki watu hawa wasio wanasiasa ambao wamefanya makubwa ktk masuala ya kibiashara na michango ya mawazo yao kuhusu tumekwama wapi na vipi tusonge mbele kwa kuangazia mapito yake yaliyopo ktk kumbukumbu lukuki ktk intaneti na kuzienzi.
 
Kwani ni nani huyo Ally Mufuruki?

Apumzike kwa Amani.
 
Back
Top Bottom