mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kuna watu wanajua kejeliKumbe na wewe ni CEO!? Mbona una mawazo na mitazamo ya ndani ya box!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kuna watu wanajua kejeliKumbe na wewe ni CEO!? Mbona una mawazo na mitazamo ya ndani ya box!?
Wewe huna ubavu wa kuoa msomali...sana sana utazalisha singo maza mwingine tu BA'sWow!mke wake anafanana kabisa mke wangu mm.
Una akili nyingi Sana japo wachache tu tutakuelewa.Mh! hebu jazia
Yale yale ya kumwaga mchele mbovu wa mtu na kulipwa fidia kwa vitega uchumi vya serikali na kisha kuwa milionea! Huwa natafuta "self made" millionaire hapa nchini simpati!
Kuna ubavu gani unahitajika kuoa msomali mkuu?Wewe huna ubavu wa kuoa msomali...sana sana utazalisha singo maza mwingine tu BA's
Halafu akamwambia...'alitelekeza wapiga kura wake jimboni'!Hats baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi huyu jamaa alihuzunika............
Ni tajiri namba 4 Bongo.Wa Tano alikuwa Mengi.Ni mmiliki wa kampuni ya InfotechKwani ni nani huyo Ally Mufuruki?
Apumzike kwa Amani.
Infotech: information technologySawa kabisa! Sasa ni vizuri tukiijua hiyo huduma.
Ninakubaliana sana na mawazo haya.Kinachotofautisha kilimo cha Tanzania na Uholanzi nchi ndogo ambayo ni ya tatu kwa uzalushaji mkubwa wa kilimo duniani ni matumizi ya teknolojia
Kwani ni nani huyo Ally Mufuruki?
Apumzike kwa Amani.
Muongo mkubwa wewe.Ni tajiri namba 4 Bongo.Wa Tano alikuwa Mengi.Ni mmiliki wa kampuni ya Infotech