TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

Ha ha haaaaaa
Humu ni JF.. nakuwa nitakavyo.. uamuzi wangu kuburudika kivyovyote.

Omba nikufundishe kufikiri nje ya boksi
Jifunze kitu kwa late CEO Mufuruki, unaweza kuwa mwana ccm mwenye hekima kwa kutoa hoja chanya.Michango yako inataka fanana na wale wanaotumika kama robot.Alumi Kawe, Magu 2016.......
 
Huyo mama wa kisomali (naamini ndiye) alimzalia mtoto wa kiume ambaye kwa sasa ana miaka kama 20 hivi. Anaitwa Tegenye A. Mufuruki
Yanawahusu nini yote haya
 
R.I.P Mzee wetu, ila mwaka huu acha uende tu watu muhimu sana wameondoka! Tutawaenzi kwa mawazo yao.
 
Mkuu msomali/mwarabu ana nini cha zaidi hadi mtu ushindwe kumuoa

Ni rahisi kwa mbantu kuoa mzungu kuliko kuoa msomali au mwarabu. Hao watu ni nadra kuchanyika na jamii nyingine tofauti na wao. Sio kwamba haiwezekani, lakini huwa hawapendi kuchanganyika.
 
Mh! hebu jazia

Yale yale ya kumwaga mchele mbovu wa mtu na kulipwa fidia kwa vitega uchumi vya serikali na kisha kuwa milionea! Huwa natafuta "self made" millionaire hapa nchini simpati!
Umenena yema kabisa kwa Tanzania ngumu sana kupata self made millionaire maana wengi ni connection tena serikalini mfano shigongo kutengeneza tshirt za kampeni alafu anakuja kujiita millionaire
 
Dah...
Nimesikia pia kuwa mzee na balozi wa zamani wa Tz nchini urusi Jaka Mwambi kafariki dunia. Sina uhakika na taarifa hizi ila wanaokaa karibu nae huko tegeta wamenitonya.

Yes, he is no more, R.I.P
 
Matajiri wanazidi kupungua Tu.

Polen wahaya wote na watz Kwa ujumla
Poleni ndugu zetu wa kagera,hata sisi kilimanjaro ilituuma sana mengi alipokufa,sasa matajiri wazawa wanazidi kupukutika ila msiba wa huyu ndugu haujawa na shamrashamra kama wa mengi kulikoni?
Luambo makiadi
Eindhoven Netherlands
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…