Kagemro
JF-Expert Member
- Jan 11, 2010
- 1,440
- 635
Hivi huko south Africa mnapapendea nini?Alikuwa mgonjwa, kafia hospitali SA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huko south Africa mnapapendea nini?Alikuwa mgonjwa, kafia hospitali SA
Jifunze kitu kwa late CEO Mufuruki, unaweza kuwa mwana ccm mwenye hekima kwa kutoa hoja chanya.Michango yako inataka fanana na wale wanaotumika kama robot.Alumi Kawe, Magu 2016.......Ha ha haaaaaa
Humu ni JF.. nakuwa nitakavyo.. uamuzi wangu kuburudika kivyovyote.
Omba nikufundishe kufikiri nje ya boksi
Yanawahusu nini yote hayaHuyo mama wa kisomali (naamini ndiye) alimzalia mtoto wa kiume ambaye kwa sasa ana miaka kama 20 hivi. Anaitwa Tegenye A. Mufuruki
mwalimu wako wa kiswahili/kiingereza hakukufunza namna ya matumizi ya nafsi tatu?Hivi huko south Africa mnapapendea nini?
Mimi sijaelewa maana yake na inahusu nini na kifo.Mimi sioni tatizo na hilo aliloliandika.
Wewe tueleze uliyoyaelewa!
Punguza dharau kwenye maisha uwezijua kesho yako kufa bilionea na kuwa mwalimu visiondoe ubinadamu wetu.Classmate kafa bilionea .wewe unastaafu ualimu.life is not fair
Amekuwa na bahati ya kuondokewa na watu muhimu sana !!!🤔R.I.P Mzee wetu, ila mwaka huu acha uende tu watu muhimu sana wameondoka! Tutawaenzi kwa mawazo yao.
Mkuu msomali/mwarabu ana nini cha zaidi hadi mtu ushindwe kumuoa
Umenena yema kabisa kwa Tanzania ngumu sana kupata self made millionaire maana wengi ni connection tena serikalini mfano shigongo kutengeneza tshirt za kampeni alafu anakuja kujiita millionaireMh! hebu jazia
Yale yale ya kumwaga mchele mbovu wa mtu na kulipwa fidia kwa vitega uchumi vya serikali na kisha kuwa milionea! Huwa natafuta "self made" millionaire hapa nchini simpati!
Dah...
Nimesikia pia kuwa mzee na balozi wa zamani wa Tz nchini urusi Jaka Mwambi kafariki dunia. Sina uhakika na taarifa hizi ila wanaokaa karibu nae huko tegeta wamenitonya.
Poleni ndugu zetu wa kagera,hata sisi kilimanjaro ilituuma sana mengi alipokufa,sasa matajiri wazawa wanazidi kupukutika ila msiba wa huyu ndugu haujawa na shamrashamra kama wa mengi kulikoni?Matajiri wanazidi kupungua Tu.
Polen wahaya wote na watz Kwa ujumla
Hayo maduka yanahisiana na nini?2015 alimpigania sana sana Magu,naona moja kati ya matunda aliyoyapata kipindi flani hivi ni maduka yake ya WOOLWORTH kupigwa pini na TRA.
Mapicha ya makazi yake Kama ilivyokuwa kwa mengi mbona hatuyaoni? Mbona msiba umepoa Sana kana kwamba sio mtu mkubwa?Kwa hiyo sasa matajiri top ten tz wamebaki wahindi na waarabu Tu?
Apumzike mahali panapo stahiliPole sana kwa wafiwa, Matajiri wa nchii tumepata pigo jingine kubwa ndani ya mwaka huu
Kwani na yeye kafa? lini?Umemsahau na Seth mdogo wake Kanumba.
Ulitaka afie muhimbili?Hivi huko south Africa mnapapendea nini?
Wasomali kibao wanatafuta waume..Wewe huna ubavu wa kuoa msomali...sana sana utazalisha singo maza mwingine tu BA's
Hebu waorodheshe hapaWasomali kibao wanatafuta waume..