Gemini Are Forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 1,508
- 2,619
Wa msituni mimi.Freelancer said:we wa wapi kwan? maana unaishi kwa kusindikiza. Totally clueless
Hili ndio kosa letu....halafu kila kitu kinaongelewa ni kizuri,...kitu ambacho sina uhakika kwa MTU wa mafanikio makubwa ya aina yake wangetuambia na pale alipoumiza watu/jamii ili kufikia huo ukwasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amefariki alfajiri ya leo akiwa anapatiwa matibabu Hospitali ya Morningside jijini Johannesburg, Afrika Kusini. Aliugua ghafla jana, akalazwa Aga Khan Hosp (jijini Dar) kabla hajapelekwa kwa haraka Afrika Kusini alikofia.
Marehemu alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa homa ya mapafu.
Ilikuwa bado haijastukiwa!
Marehemu alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa homa ya mapafu.
Chanjo itaokoa wengi. Hapa naenda kuchoma Power safeDuh,tulipoteza mpambanaji makini sana,,kipindi hizi challenge za kupumua bado kitu kigeni kabisa,,hivyo kulikua hamna jinsi ya kumsave huyu bilionea