TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

Freelancer said:
we wa wapi kwan? maana unaishi kwa kusindikiza. Totally clueless
Wa msituni mimi.

Halafu mkuu... Kwani kufuatilia maisha ya watu/kuwajua akina Mufuruki (MUNGU amrehemu) ndo ujanja au ndo kujua maisha?

Huna ubongo, una matope.
 
RIP
Amefariki alfajiri ya leo akiwa anapatiwa matibabu Hospitali ya Morningside jijini Johannesburg, Afrika Kusini. Aliugua ghafla jana, akalazwa Aga Khan Hosp (jijini Dar) kabla hajapelekwa kwa haraka Afrika Kusini alikofia.

Marehemu alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa homa ya mapafu.
 
Kwa sasa inasemekana huyu dingi alikufa kwa Covid19
 
Amefariki alfajiri ya leo akiwa anapatiwa matibabu Hospitali ya Morningside jijini Johannesburg, Afrika Kusini. Aliugua ghafla jana, akalazwa Aga Khan Hosp (jijini Dar) kabla hajapelekwa kwa haraka Afrika Kusini alikofia.

Marehemu alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa homa ya mapafu.

Ni hatari sana 19 ilianzia huku.
 
Duh,tulipoteza mpambanaji makini sana,,kipindi hizi challenge za kupumua bado kitu kigeni kabisa,,hivyo kulikua hamna jinsi ya kumsave huyu bilionea
 
Chanjo itaokoa wengi. Hapa naenda kuchoma Power safe
 
Back
Top Bottom